MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,662
I can not imagine watu wanaofanya kazi kwa bidii wakiwa na afya mbovu mbovu! Yaani hawana maarifa, kuna kipindupindu, njaa na maradhi kibao! Mimi sijawahii kuona huku duniani! Kwanza right to universal health care, halafu maarifa (skiils) yaani shule..siyo lazima hadi chuo kikuu! Halafu ndo watu watazalisha!
Nafikiri unanielewa!
Nafikiri unanielewa!
Wananchi watafanyakazi kwa nguvu na bidii ili kuweza kumudu kupata matibabu, elimu na huduma nyingine. Wale watakaokosa elimu watakuwa cheap labour majumbani, mashambani, kwenye ranchi za mifugo, wachinja nyama, mafundi mchundo, nk. Ukiwapa elimu na matibabu bure hawaendi kufanyakazi kwa kupindukia. Uchumi ukipanda serikali baadae itapata uwezo mkubwa wa kurekebisha kasoro za afya zilizojitokeza kama Obama alivyofanya kwa Obama Care. Elimu ya chuo kikuu lazima iwe ya wachache kabisa ili uchumi ukue kwa kasi, watu wengi lazima wawe na elimu ya veta tu (hands on)