Hahaha nimecheka sana aise ---Humu Kuna watu ni wehu ---
Kidogo sasa,[emoji23][emoji23][emoji23].. freshhh wapo hawa watu wakina sisi tucheke tuu kwakwel.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa una roho mbaya sana ww, embu pata picha ndo ww wangekunyima kukutana na mwanamke wako au kutaka kukuwekea sumu ungejiskiaje.
Em acha paka wa jilan ajilie vyake.
Acha akuletee wajukuu.
Ahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti wanamega kisela...[emoji23][emoji23], hii ni sawa na muke ya mtu...Mhudumiaji mwingine ila vitonga wanamega kisela.
Hahaha!! Kuchapiwakunaepukika.Eti wanamega kisela...
#KuchapiwaHakuepukiki [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aaa wapi. Hata uoe mtawa kuchapiwa utachapiwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha!! Kuchapiwakunaepukika.
Sio kweli.Aaa wapi. Hata uoe mtawa kuchapiwa utachapiwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema?
Mimi naamini hivyo na hata siku ikitokea nikachapiwa sitashangaa...Sio kweli.
Kwema kabisa mkuu, hofu kwako.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mimi naamini hivyo na hata siku ikitokea nikachapiwa sitashangaa...
Huku salama mkuu. Kawe na siku njema leo na yote unayoyatamani maishani mwako yakaanze kudhihirika.
Kwahiyo unamuonea wivuAnatoombwa sana