Tumpe sumu paka wa jirani?

Kazi kweli kweli ''ngoja waje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na hili ni fundisho hata kwa sisi binadamu mwanamke mwenye matunzo hatakiwi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume wa hovyo hovyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuliko kumuua bora mpotezeni kimtindo kimya kimya pasipo mwenyeji wake kufahamu hilo.
 
Nenda kamtelekeze sehemu kama feri -hospital au karibu na hotel's. ...apate kuishi katika mazingira hayo '' ni sehemu rafiki kabisa kwao atakuwa anajipatia cha kula cha bure. ..kuliko kutaka kumpatia hukumu nzito kiasi hicho
Nabebanaje na mpaka ? Jirani akinikamata je?
 
Nenda kamtelekeze sehemu kama feri -hospital au karibu na hotel's. ...apate kuishi katika mazingira hayo '' ni sehemu rafiki kabisa kwao atakuwa anajipatia cha kula cha bure. ..kuliko kutaka kumpatia hukumu nzito kiasi hicho
Hapa mkuu ndo atamjua paka vizuri,

Wakati anarejea nyumbani kutoka huko alikomtelekeza anaweza kumkuta yeye kashafika nyumbani masaa mawili kabla yake.
 
Mkuu acha wivu, sasa asipopigwa mbu.pu na paka wa jirani je nyie mnao uwezo wa kumtimizia haja zake za mwili? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…