Elections 2020 Tumpe Makonda Jimbo jijini Dar es Salaam 2020

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
528
1,000
Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.

Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.

Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_legend

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
1,227
2,000
Hawezi kukubali kupewa jimbo lolote, na ukuu wa mkoa wake tu tayari ana nguvu kuliko hata mbunge au waziri yoyote

the Legendβ˜†
 
wehoodie

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
972
1,000
Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,123
2,000
Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
Ndipo unapaswa utafakari aliyeleta uzi alimaanisha nini? Tafakari. Halafu kuhusu neno "maendeleo"!Umelichukuliaje? Yako wapi? Kivipi? Kwa nani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Top Bottom