Hallow wana JMF. Kwa mara yakwanza nimeona nami niseme. Kama kweli Bw. Itatiro kasema hayo kutoka moyonI basi hakuna haja ya kupoteza fedha na muda kudhani tutakuwa na Katiba Mpya/ mabadiliko ya Katiba . Haiwezekani wahusika wakakubaliana na marekebisho yatakayokuwa tofauti kimsingi na sheria iliyosainiwa na Mh. Raisi. :eyebrows: