masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,770
- 14,862
TCRA wanashindwa kuwajibika, watu wanapoteza au kucheleweshewa amana zao, wao wamefumba macho.
Du du du.....Jamaa hawa ni hopeless kabisa , nemeenda pale Makao Makuu Victoria kama saa 7.15 mchana.
Receptonist anasema wameenda kula, waliobaki ni wa IT tu.
Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.
Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho
"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"
Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .
VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
Unaweza kuwashitaki ukipata lawyer mzuri. ni kwa vile hatujui haki zetu! Soma hii hapa chini .......copy and pasteWanasheria mliomo humu JF, hamuwezi kutushauri jinsi ya kudai damages for non rendering of service.
Mtu kutuma hela kwa mgonjwa isifike in time, akipoteza uhai si lazima iwepo kesi?
"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"
Message hii nimeipata saa 8.04mchana!!
Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja
Exactlyndio tena saa za kazi
Aannte kwa kuliona hilo, it deepens my suspicion!Thread kabandika leo 31/10/2017, pesa karudishiwa jana 30/10/17 saa 4.41PM sema meseji itakuwa imechelewa. Hapo anasema "time 4.41PM!!!! time ambayo haipo" wakati ni jana. Hii ni Bongo, kama huwezi vumilia vitu kama hivi, omba visa ukaishi Ulaya jomba.
Mkuu sidhani km huwa wanasema baada ya masaa 72,huwa wanasema pesa zako zitarudishwa ndani ya saa 72 siyo baada ya masaa 72 ni ndani ya hayo masaa.kimsingi hii sera mpya waliyokuja nayo vodacom na MPesa Tanzania ya kurudishiwa pesa zako baada ya siku nne mie naona ni ya kipuuzi na hovyo kabisa. haiwezekani mtu kakosea namba ya kutuma pesa au kutoa unamweleza arudi nyumbani shida yake ya pesa isubirie mpaka baada ya siku nne ndio itatatuliwa are you guys real serious?? I think M-pesa tanzania has gone insane. TCRA na wenyewe wame paralyse naona mpaka boss wao atumbuliwe ndio akili ziwarudi wajue nini cha kufanya.
Nimelazimika kulalamika katika mtandao huu wa JF maana naona M-Pesa sasa hivi ni very risky.
Jana nimemtumia mtu pesa kwa M Pesa akiwa dukani ili anunue madawa muhimu sana kwa mgonjwa. Jama dawa kazipata zote na zilikuwa na gharama kubwa. Nikatuma hela kwa M-Pesa immediately.
Baada ya nusu saa meseji ajapata kuwa pesa imeingia kwake. Nikawapigia M Pesa kwa huduma ya jamoo, namba 100. Jibu standard, tunatuma ujumbe mwingine. Baada ya nusu saa tena meseji haijaenda watakomesha uhuni wa hawa viumbe.
Nikapiga tena no 100 huduma kwa wateja, jibu bado standard, tutatuma meseji tena. Baada ya masaa mawili bado meseji y kuchukua fedha haijaenda, nikawapigia MARA YA TATU! Jamaa wa Voda M-Pesa wananiambia , tatuma meseji tena, tukusaidie tatizo jingine?
I blew my top.
Rudisheni hela yangu immediately, kama mmeshindwa kutuma. Jamaa wa M Pesa , itabidi usubiri withi 24hrs!
Leo napiga no 100 huduma kwa wateja , wananijibu, inabidi usubiri siku nne kurudishiwa pesa!! Mgonjwa wangu kue yuko hoi bin taaban.
USE VODACOM M-PESA A YOUR OWN RISK!!
Mimi najitoa.
UPDATE:
Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.
Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho
"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"
Message hii nimeipata saa 8.04mchana!!
Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo ha pelekaipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .
VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
Nilikaa zaidi ya siku ishirini baada ya kuingia kwenye page yao FB nikamwaga sumu haikuchukua muda siku hiyo hiyo wakarudisha pesa.Nini masaa 24 mimi niliambiwa ndani ya siku nne tena kuanzia siku nne mpaka na kuendelea halafu ilikuwa hela ya ada! Nilihisi kuchanganyikiwa maana nilikula ada na UE inakaribia kama siku 5 mbele........sema kuna mtu namjua voda ndo nikaongea nae akanisaidia akanitumia hela yangu yote kesho yake!!!
Aiseeee walikufanyia vibaya sana.......pole sanaNilikaa zaidi ya siku ishirini baada ya kuingia kwenye page yao FB nikamwaga sumu haikuchukua muda siku hiyo hiyo wakarudisha pesa.
Asante sana, wana mambo ya ajabu na kwa ishu kama yako ya kulipia fees unaweza vurugukiwa na tumbo ukahisi unakufwaa!![emoji23]Aiseeee walikufanyia vibaya sana.......pole sana