Tumia internet ya bureee tiGo

Status
Not open for further replies.
Hata mimi ninaamini inawezekana lakini bado sio bure hiyo 25000 kuna wengine hawawezi kuipata.
 
Sharobalo...............Be carefull Blaza................. Utawauzia hadi hao wenye mtandao ndipo utakapo waeleza umezipata wapi.... Hizi Deal ni hatari sana kuzifanyia biashara.... Hivi sheria zetu za mawasiliano zinasemaje endapo mteja atafanya wizi wa kupata mawasiliano pasipo malipo? na Kampuni ya wasiliano endapo itamuibia mteja wake inakuwaje hapa?


Ni muhimu sana tujue hizi seria maana ipo day hatutaonekana humu ndani kisa wizi wa Internet ya bure.............Bwa hah hah hah hah hah
 
Hivi mnakumbuka ule uchakachuaji wa Zantel? Mnajua kilichowatokea baadhi ya wafanyakazi wake ambao inasemekana ndio walio anzisha ule uchakachuaji wa kuwatoza watu TSH 70,000- leo hii hawana kazi na wanakesi ya kuingizia kampuni hasara ya ma-milion .....

Fanyeni wizi ila kuweni makini maana kukamatwa ni rahisi sana...
 
Kwenye muongozo wa TCRA kuhusu wajibu wa mteja wa mawasiliono Kuna kipengile kina sema" Kutumia Huduma Kihalali"
hakiWajibuMteja.jpg
 
basi kama ni za Tigo ngoja niende huko huko tigo niwaambie waniuzie hizo za namna hiyo....asante kwa information
Hutapata na watakushangaa, hivyo vitu ni vya dili sema kama upo interest wewe m PM ndugu. Acha kubisha vitu usivyo jua oyaaaaaa, bado hujaona panya mwenye tb? bado, ajali ajali bado na kande kwenye ndege?
 
Hutapata na watakushangaa, hivyo vitu ni vya dili sema kama upo interest wewe m PM ndugu. Acha kubisha vitu usivyo jua oyaaaaaa, bado hujaona panya mwenye tb? bado, ajali ajali bado na kande kwenye ndege?

he he he....kwanza wewe kuna ile moja uliniingiza mjini......ndio ikawaje?......wacha nikuPM
 
Ok guys...anae hitaji aniambie kwa msg humuhumu jamii forum, tukielewana nitakupa namba hii kukwepa spams. dont post ur namba here!!

kuhusu anayeona utapeli au ana wasi wasi mi nadha aipotezee hii thread just ignore it. Ila wale waliotumi na wanafahamu hii kitu kama ipo tayari tushaanza kuwasiliana,sababu its not a first time we do it.

Bei ni resonable 25 buks for unlimited internet...ni zaidi ya bure.. hata hivyo i disolve some credit for my sleepless nights doing this discovery na umeme pia kahawa wakati wa usiku pia.

hata hivyo WABONGO hatuthamini kazi za wenzetu hata time zao wanazopoteza kufanya jambo...lets close it for security ressons.

Cheers!!

THREAD CLOSED!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom