Tumia Acount yako ya Facebook kama Photo Library.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Najua unajua ila sio jambo baya kujua zaidi.Wengi tuna fb a/c ,tuna upload picha kila leo na kutag rafiki zetu.Je ulishawahi kufikiria kutumia account hiyo kama Photo Library kwa matumizi ya baadaye?.Inawezakana na ni salama pengine kuliko Hardware Devices i.e External/Internal HDD,SD CARD,CD etc.Kuna siku Hd inaweza kudondaka na kuharibika,Sd Card au Cd inaweza ika corrupt na isifunguke tena.kama ni Laptop au Mobile Handset inaweza ikaibiwa na majanga kadha wa kadha.Nimejaribu tu kuainisha japo kwa uchache,mazingira yanayoweza sababisha upoteze Data zako zote hata zile ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wako kuziokoa,mathalani photos.Kuhusu fb unacho takiwa kufanya ni kuchagua idadi ya picha unazotaka kuzi upload kama album.Kumbuka you can upload 1000 photos per album in your facebook account .Nafahahamu kuna Apps zinazotumika kufanya jambo hili,mfano Google Drive.Ila sijafatilia kujua how many photos can be uploaded online per single upload.Baada ya kuzichagua na kuzi upload,tafuta sehemu iliyo andikwa private option within the album na u-click only me.Kuanzia hapo sasa ina maana wewe pekee ndio utakae kuwa na access ya kuziona/kufuta picha hizo ktk facebook.Picha zitahifadhiwa kwa usalama kama soft images na wao wenyewe facebook,ktk server yao kubwa ambayo 24/7 inalindwa/imezungukwa na mabingwa wa IT .Zitakaa hapo mpaka pale utakapo jisikia kuzifuta au ku deactivate account yako.Pili itakuwa ni rahisi kuzi share ktk mitandao mingine ya kijamii kama utajisikia kufanya hivyo.Jambo la muhimu ni kuhakikisha una linda Account yako isidukuliwe.Hii itasaidia kuwanyima nafasi watu wenye malengo maovu,kuingia na kufuta picha au kuivuruga account.Tahadhari kubwa ya kuzingatiwa ni kuto upload picha ambazo zinakuonyesha upo ktk mazingira too private for others to see.Siku wakikudukua na wakaenda kuzitumia picha zako ndivyo sivyo usilie.Upload picha kwa mfano za matukio ya Graduation/Wedding Ceremony au mikusanyiko/sherehe za kijamii ulizowahi kuhudhuria.Samahani wakuu nimetumia kamchina ku type.Nilitamani ni attach screenshots ku demostrate nilicho andika ila nimeshindwa.Nakaribisha maoni yenu.
 
Basi mie kuna Folder moja nimeset permissions nione mimi tu. kwa iyo hakuna mtu wa facebook anaeziona izo picha. uwa nazitumia pale nnapotaka kushea na watu jamiiforums au mitandao mingine.

one drawback ya iyo kitu ya fb ni kuwa kama akaunti yako.itakuwa suspended au kufutwa bila ridhaa yako basi kila kitu kinaenda na maji
 
yep joe.hata mimi naitumia account yangu ya fb kwa vitu kama hivyo sambamba na matumizi mengine.hilo la account kuwa suspended nadhani ndio the only risk an fb user should consider.hata hivyo mpaka fb wafikie hatua kui suspend ac yako basi ujue kuna usumbufu uliwahi kuufanya online on fb.na mara nyingi hii linatokea kwa watu wenye multiple fb ac , pale ac moja inapotumika ku-prank watu wengine.
 
kwenye pc yangu nna picha 250000 na zaidi, nahitaji mtu wa kuajiri kufanya hiyo kazi
 
kuna kitu umekisahau unaweza fanya makosa wakakuban kisha ukapoteza picha zote

ila makosa ya fb mengi yanaepukika na jamaa hawako biased kivile.mpaka wakupige ban basi wewe kweli ni incorrigible.wangeanza kuwapiga ban watu wanao anzisha vi page au vi group vinavyojadili ngono au ugaidi/uharifu na wanaohamasisha mapinduzi ktk nchi mfano libya,misri nk .mpaka leo bado wapo.
 
Cwez nkaweka picha zangu fb (ambazo n HD)
maana uktaka kuzdownload znashuka zkiwa na Low quality,
eti picha ina 2Mb
nakuja kuisha eti ina kuja na 412Kb
 
Cwez nkaweka picha zangu fb (ambazo n HD)
maana uktaka kuzdownload znashuka zkiwa na Low quality,
eti picha ina 2Mb
nakuja kuisha eti ina kuja na 412Kb

sio kweli. kuna option ya kusema picha unazoupload ziwe na original quality. mie nimechagua option hiyo na picha nnazo upload uwa nikizidownload zinashuka na same quality ama slightly reduced
 
another drawback ya kuhifadhi picha facebook. format zingine tofauti na jpg. na jpeg kama vile png au gif picha zinapoteza property zake mfano uki upload transparent png images basi output itakuwa na background nyeupe
 
Basi mie kuna Folder moja nimeset permissions nione mimi tu. kwa iyo hakuna mtu wa facebook anaeziona izo picha. uwa nazitumia pale nnapotaka kushea na watu jamiiforums au mitandao mingine.

one drawback ya iyo kitu ya fb ni kuwa kama akaunti yako.itakuwa suspended au kufutwa bila ridhaa yako basi kila kitu kinaenda na maji

kuna kitu umekisahau unaweza fanya makosa wakakuban kisha ukapoteza picha zote

nakubaliana na hawa wadau wawili. FB sio reliable kama sehemu ya kusave picha zako.

nililisoma hili somo the hard way kwa kupoteza account mbili. ya kwanza nilikuwa reported ni ex wangu mmoja kwa kuwa nilikuwa na picha tumepiga pamoja ambazo niligoma kutoa tulivyoachana. FB walivyo wabaya sikupewa warning wala suspension. walifunga account yangu moja kwa moja baada ya yeye kureport kuwa nina picha zake na sitaki kutoa.

ya pili ilikuwa same same. mambo ya kubishana na dame. alikuwa na password yangu na tulivyogombana, alipanda hewani na kufuta kila kitu (friends list, pics, likes, etc). hizi profile zangu mbili zilikuwa na picha zangu nyingi za siku nyingi, maana nilikuwa user wa FB mapema sana (siku zile ambazo ulikuwa huwezi jiunga FB kama wewe sio mwanafunzi [you needed a scanned ID as proof] ) na niliumia sana.

while ni kweli kwamba in both cases it was negligence and foolishness in my part, FB kama FB sio reliable, maana kuna hackers, girlfriends and so on. siku hizi kuna cloud based services, nyingi for free (kama drop box) na ni secure. pia, kuna nyingi ambazo ni special for photo saving mfano photobucket ambayo ndo mimi natumia. sina haja ya kushare ID au profile yangu ya photobucket, na uwezo wa uploading/ downloading pics ni seamless and quick. ukiongeza na uwezo wa kutag picha zangu on forums kama JF, huwezi tumia FB tena. check it out

Get free image hosting, easy photo sharing, and photo editing.
 
sio kweli. kuna option ya kusema picha unazoupload ziwe na original quality. mie nimechagua option hiyo na picha nnazo upload uwa nikizidownload zinashuka na same quality ama slightly reduced

.
Nipe maujanja hayo joe mana mpaka nika hama FB nikawa na store tu Gmail nako yale yale 5MB > 45KB
ila nikashangaa ub16 akisema kuna option ya ku dis allow it nikasema lol mi kila kitu 4share hawa zi spueez wala nn
.
Nipe maujanja ya FB hayo
 
Last edited by a moderator:
leh uzuri wa fb ni easy to use. unaweza ku upload picha ukiwa na smartphone. smartcamera yako kupitia apps zilizomo kwenye kifaa chako. pia hakuna restriction ya picha ngapi u upload. my previous account ilikuwa ya kitambo sana niliifuta kutokana na ugomvi na ex ilikuwa na picha zaidi ya elfu mbili ilikuwa kazi sana kuondoa picha zote kwa wakati huo hakukuwa na option basi nikarequest ifutwe.
 
Last edited by a moderator:
CodeR GodivA ukiwa una upload kwa pc ukianza ku upload picha kuna option unaulizwa kama unataka ku upload in high quality... ukikubali itaaffect hata mobile uploads ambapo sasa hata kama utatumia simu au app ya simu picha zitakuwa uploaded in same original quality...
 
Shukrani kiongozi
.
Regards
C++
 
Last edited by a moderator:
nakubaliana na hawa wadau wawili. FB sio reliable kama sehemu ya kusave picha zako.

nililisoma hili somo the hard way kwa kupoteza account mbili. ya kwanza nilikuwa reported ni ex wangu mmoja kwa kuwa nilikuwa na picha tumepiga pamoja ambazo niligoma kutoa tulivyoachana. FB walivyo wabaya sikupewa warning wala suspension. walifunga account yangu moja kwa moja baada ya yeye kureport kuwa nina picha zake na sitaki kutoa.

ya pili ilikuwa same same. mambo ya kubishana na dame. alikuwa na password yangu na tulivyogombana, alipanda hewani na kufuta kila kitu (friends list, pics, likes, etc). hizi profile zangu mbili zilikuwa na picha zangu nyingi za siku nyingi, maana nilikuwa user wa FB mapema sana (siku zile ambazo ulikuwa huwezi jiunga FB kama wewe sio mwanafunzi [you needed a scanned ID as proof] ) na niliumia sana.

while ni kweli kwamba in both cases it was negligence and foolishness in my part, FB kama FB sio reliable, maana kuna hackers, girlfriends and so on. siku hizi kuna cloud based services, nyingi for free (kama drop box) na ni secure. pia, kuna nyingi ambazo ni special for photo saving mfano photobucket ambayo ndo mimi natumia. sina haja ya kushare ID au profile yangu ya photobucket, na uwezo wa uploading/ downloading pics ni seamless and quick. ukiongeza na uwezo wa kutag picha zangu on forums kama JF, huwezi tumia FB tena. check it out

Get free image hosting, easy photo sharing, and photo editing.

Nakubaliana na wewe, fb mtu akikuripoti kwa sababu yoyote hata ya kijinga unakula ban, hawana muda wakusikiliza kisa wala mkasa.
 
kuna kitu umekisahau unaweza fanya makosa wakakuban kisha ukapoteza picha zote

Jambo jingine ni kuwa si salama kuhifadhi picha facebook. Hackers wanaweza kuzichukua na kuzifanyia wanchotaka ikakugharimu sana. Ni kosa ambalo silifanyi kama lile la kuhifadhi document zangu katika email account yangu. Ukweli sifanyi kosa kama hilo, na wala siwashauri watu wafanye makosa kama hayo.
 
Back
Top Bottom