snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
Jambo jingine ni kuwa si salama kuhifadhi picha facebook. Hackers wanaweza kuzichukua na kuzifanyia wanchotaka ikakugharimu sana. Ni kosa ambalo silifanyi kama lile la kuhifadhi document zangu katika email account yangu. Ukweli sifanyi kosa kama hilo, na wala siwashauri watu wafanye makosa kama hayo.
.
Kuna kingine
.
Ukivuruga tu tweeter, basi ujue account yako FB haina maisha..
.