Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
I like mtoa mada kaamua sema ambacho kwa CCM ni deadlock.Wanasema mengi sana.Ila hawana pa kumbana na mbaya wameshamchafua ila hawana ch akumsafisha ama kuamua mshitaki kama wameshindwa msafisha.
Mwisho ni kwamba CCM wana kazi hawawezi shinda wakiwa naye na hawawezi chinda kuitia mwingine bila huyu jamaa.kwa ujumla the game is about to be over.
Mwisho ni kwamba CCM wana kazi hawawezi shinda wakiwa naye na hawawezi chinda kuitia mwingine bila huyu jamaa.kwa ujumla the game is about to be over.