Tumfanyaje huyu dogo?

Tumfanyaje huyu dogo?

daah haki ya Mungu kuna watu wengine unaweza ukawala nyama hivihivi yan sikufichi mkuu!! Yani wadau wanavyo fight na hili life bila ramani, alaf yeye anatafuniwa hvyo then hamezi anatema na kumwagia mchanga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sikufichi MNYAMAKAZI unaweza ukamtafuna mtu hivix2 yani.
 
Muundie mishe akae sero kama miezi kadhaa atatoka na akili kumkichwa

umeniwahi mkuu, hiyo ni solution mojawapo. Tatizo alilonalo ni kwamba hajui upande wa pili wa maisha uko vipi na kama mnampenda kosa mtakalofanya ni kumuacha afunzwe na ulimwengu, ulimwengu hauchagui jinsi gani nzur ya kumfunza mtu asipoishia kufa kwa wizi atabaki kilema au ataishia kua teja. Jaribuni kutafuta njia za kumuonesh upande wa pili wa maisha ulivyo nina imani atajifunz na kurekebika na ikishindikana basi acheni mapenzi ya Mungu juu yake yatimie.
 
mwacheni huyo anawachezea akili tu dunia itamfunza tena hakuna kupewa msaada wowote aiii
 
Kabla hajachomwa moto ni vizuri mkafanya hiv:
mpelekeni kwa wataalam wa saikolojia ili wamchunguze na kumpa ushauri unaofaa.
mkiona hakuna mabadiliko, msiwe na huruma naye, hakikisheni mnamuweka ndani (jela) kwa muda wa kutosha.
mwelezen huyo dada yenu kuwa anachokifanya kumtoa jela kila mara hamsaidii bali anamjengea mazingira hatarishi ya kuuwawa. tambuen kama nyiny mtamuonea huruma lkn ipo jamii ambayo haitamhurumia.
mchague akatulie jela sehemu ambayo atakuwa hai huku akirekebishwa au mumchekelee na kumuona akifanya fujo mitaan mkisubiria achomwe moto.

Huyo ameshavuka kipengere cha kupelekwa kwa mwana saikolojia, sehem inayomfaa kwa sasa ni jela tu. Akitoka hapo hajabadilika basi tena.
 
huyo dogo mwacheni kwanza life impige ban mwenyewe atapata akili, mara nyingi madogo wenye uhakika wa kula milo mitatu na kulala bila masimango huwa wana matatizo sana. Alivyo haribu ccp militakiwa muachane nae kabisa mpaka pale atakapopata akili na kuja na wazo lake mwenyewe la anataka nini na tena akija msiwe wepesi wa kutoa support mpaka pale mtakaporidhika na ikiwezekana muulizeni yeye ana nini katika hicho kitu anachofanya.

Msiogope hawezi kufa kwa shida kama mkimtosa maana mbona wengi tu wameishi maisha ya dhiki wakatoka (shida ni kipimo cha akili)



mtu anakimbia mpa mnampeleka jw
shenzi akaungane na mdogo wangu wakafe kwa shaba. Nina hasira na watu hao jamani!
 
wahenga walikua sio wajinga kusema "penye mitu hapana wajenzi" nafasi ambazo watu wanalilia na kusubutu hadi kuhonga fedha yeye kazichezea! Kama ajapigwa kiberiti huyo kwa wizi basi ataweza olewa kwa kupenda mtelemko pumbav kabisa. Mimi huwa natoa kipigo tu kwa watu kama hao.




siku ya kumpiga kiberiti mnijulishe nimlete dogo wangu waungane kwani ni zaidi ya uchovu ila nahisi ni malezi mabovu
 
Ana uhakika wa kula bure na kunya bure kulala bure

Kwanza kila mmoja ampige biti kwenda kwake

Aende akatafute maisha

Mshagawana mirathi? Kila mmoja achujur sehemu yake

Halafu mumuache dunia imnyooshe
 
Tumewahi kukubaliana namna hii mkuu but kuna sister na anti yetu mmoja kila akitua selo wanamtoa.

Sasa hawa muwaite pamoja na dogo

Muwakabithi na waambieni hamhusiki kwa lolote kiufupi wamchukue

Akishawaibia akili itawakaa sawa
 
Kabla hajachomwa moto ni vizuri mkafanya hiv:
mpelekeni kwa wataalam wa saikolojia ili wamchunguze na kumpa ushauri unaofaa.
mkiona hakuna mabadiliko, msiwe na huruma naye, hakikisheni mnamuweka ndani (jela) kwa muda wa kutosha.
mwelezen huyo dada yenu kuwa anachokifanya kumtoa jela kila mara hamsaidii bali anamjengea mazingira hatarishi ya kuuwawa. tambuen kama nyiny mtamuonea huruma lkn ipo jamii ambayo haitamhurumia.
mchague akatulie jela sehemu ambayo atakuwa hai huku akirekebishwa au mumchekelee na kumuona akifanya fujo mitaan mkisubiria achomwe moto.

kwa experience niliyoona kwa watoto wa aina hiyo jela huwa haiwasaidii sana, nimeshaona vijana kama watatu hivi wa aina hiyo mmoja alikuja kubadilika mwenyewe tu manake njia zote za kumbadilisha zilishindikana ila kwa neema ya Mungu akaja kubadilika na sasahivi ni mtumishi wa Mungu mzuri tu, ila hao wawili jamani huwa nasikia huruma sana kwa wazazi wao mmoja hajulikani alipo kwasasa sijui alishakufa au vipi manake wazazi wali give up wala hawahesabu kama wana mtoto huyo mwingine jela anaingia na kutoka yani mtaani hamalizi hata mwaka anarudishwa tena lakini wapi na ameshakuwa mtu mzima sasa
 
[Sasa hawa muwaite pamoja na dogo

Muwakabithi na waambieni hamhusiki kwa lolote kiufupi wamchukue

Akishawaibia akiki itawakaa sawa]


(Mpelekeni kwa hao wanaomtoa akaishi nao na huko kwenu mumpige marufuku kuonekana)

Nakubalina na hawa watu
 
Solution yenye uhakika ya kumsaidi haipo ila atakuja kubadilika mwenyewe kadri umri unavyokwenda au asije kubadilika kabisa
 
Undugu wa damu ungekuwa unakatizwa nadhani ningekuwa wa kwanza kuomba huduma hiyo. Wadau huyu dogo nahisi ni adhabu tuliyoachiwa na marehemu wazazi (sijui tulikosa nini).. Naomba mjaribu kunisaidia mawazo aisee.
Huyu dogo alipomaliza form 4 (kwa mbinde) hakufanya vizuri sana akajiunga na jeshi la polisi, hakumaliza akatimuliwa huko ccp. Kuna mzee mmoja rafiki wa marehemu mzee akatufanyia mpango dogo akaingia jwtz, dogo akaenda akakimbia depo aftr several weeks. Akaja home, akatafutiwa kazi tanesco akafanya kazi siku mbili. Tukashauriana kwamba aende veta nako akafukuzwa vile vile kwa vurugu. Hakuna ambacho hatujajaribu kwa huyu kiumbe na kuna bro kawahi kumuweka asimamie mradi mmoja hivi kaharibu.. Akiachwa hivi hivi anakuwa ni kero tupu, hapo hom kashauza kila chenye maana. Akija kwa kaka zake ndio ugomvi kila siku cheni, simu na vipochi vya shemeji zake haviponi. Kesi za kutapeli kila siku. Tumewaza hadi tunakaribia kukufuru waungwana.

Mpelekeni segerea. Akikaa miaka 5, atashika adabu yake.

 
Pelekeni Segerea mwaka mmoja atarudi na adabu hii si kwa kumkomoa bali kumfunza dunia.
 
akili yk haifany kaz kuhuxu lfe mwache kwanz akomae kitaa kwanza kama 2 yrz mcmpe matumiz yoyote atafute mwenyew akiiba lubango ipo bana kwa nn msumbue kichwa wakat kuna wa2 wanaxotea hzo chance hawazipat huku ye anazichezea
 
Mpeleke polisi akapate mafunzo kwa miezi mitatu, halafu mtoe
 
Back
Top Bottom