Tumezuiwa kuuza mchicha naskia

Mh! Mbona huyo muuza mchicha mwenyewe atisha hivyo...isije kuwa auza ile michicha ya Kenya ambayo pia ni maaarufu zaidi nchini Somalia.
 
Itakuwa ni somalia muuza gomba ana zeze pembeni mteja naye ana zeze mgongoni mkizinguana tu unamwagwa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…