Tunapokula Maharage au Mchicha tukumbuke kusukutua. Aibu hii!!

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Kuna Mdada yupo classic sana na anapenda kujichekesha muda wote, leo Amepita kutusalimia lakini meno yake ya mbele yakawa na maganda ya harage na lingine mchicha mkubwa tu.

Mwanzo sikujua nikafikiri ni tabia za warembo wetu kuweka madoido japo nilijiuliza kwanini hakuchagua rangi nzuri. Kumbe ni baki la harage na mchicha.

Huwa ana kamsemo kake kuwa " I like seafood "
 
Kuna Mdada yupo classic sana na anapenda kujichekesha muda wote, leo Amepita kutusalimia lakini meno yake ya mbele yakawa na maganda ya harage na lingine mchicha mkubwa tu. Mwanzo sikujua nikafikiri ni tabia za warembo wetu kuweka madoido japo nilijiuliza kwanini hakuchagua rangi nzuri. Kumbe ni baki la harage na mchicha.

Huwa ana kamsemo kake kuwa " I like seafood "
Ukigundua ana mabaki Fanya kama unasukutua mbele yake atajua. Bila kumuambia
 
Kuna Mdada yupo classic sana na anapenda kujichekesha muda wote, leo Amepita kutusalimia lakini meno yake ya mbele yakawa na maganda ya harage na lingine mchicha mkubwa tu. Mwanzo sikujua nikafikiri ni tabia za warembo wetu kuweka madoido japo nilijiuliza kwanini hakuchagua rangi nzuri. Kumbe ni baki la harage na mchicha.

Huwa ana kamsemo kake kuwa " I like seafood "
Hii IMEENDA I like sea food
 
Muache aishi Maisha yake anayopenda Sasa unashangaa mchicha wenye vitamin A au maharage yenye protini.
 
🤣🤣🤣mnunulie pilau kuku au samaki,kuepuka maganda ya maharage na mchicha kwenye meno
Mhudumie vizuri demu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom