Tumewagaragaza CCM

Tumewagaragaza CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,169
Reaction score
48,446
Jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye Kijiji cha Magulilwa Kata ya Magulilwa kwenye Halmashauri ya Iringa Vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

CHADEMA - Kura 475

CCM - Kura 290

Ni hayo tu wandugu.
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

Mkuu, hapo penye black, lakini wewe si umechangia, au?
 
ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu jf patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

kwa hiyo wewe huna maana kwa kuwa umechangia mada isiyokuwa na mashiko!pole sana kwa kujitusi!
 
ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu jf patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

wewe ni gamba original ndo mana inakuuma.pole sana
 
Tunaimalicha chini kwanza ukifika uchaguzi mkuu mizizi imeshashika!!mwaka wakuwagaragaza CCM
 
safi sana. huo ni mfano tu wa 2015. ova
 
mada inaonyesha matokeo ya uchaguzi,haijalishi ni kijijini au mjini kwenu wajanja,hongera sana chadema,
nyie mnaopinga hii sread mna payuka payuka bure
 
Umekosa vya maana kupost?
OTIS
Cha maana kwangu ni pale tunapoona sasa tumeanza kupata ushindi mkubwa kama huo huko vijijini. kwa taarifa yako hata kule tulikoshindwa tumeshindwa kwa tofauti ndogo ya kura!!
 
Mpaka 2015, CCM itakuwa imeshazikwa, hongera chadema
 
Ukiona moshi jua moto unawaka au utalipuka muda sio mrefu, ukiona manyunyu jiandae kwa mvua, hii ni dalili watu vijijini kule ambako CCM ina amini ndio ngome yake CDM wameanza kupata mashiko na kuaminika mpaka ikifika 2015 imani kubwa itakuwa imejengeka kule na ushindi usio na mashaka utapatikana
 
Back
Top Bottom