BBJ
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 1,181
- 160
Khaa!Unaongea nini wewe?Mnajivunia ushindi wa wizi wa kura?Na ktk hilo jimbo la Kafulila kwanini hayo maneno usingeyaongea ktk ujachaguzi wa 2010?Ovyooo!ccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.