Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,682
Duuuuuuu kumbe jigga ni kama baba yangu tu.. 1988 sijazaliwa
Jigga alikuwa mshamba utadhani katoka Makete
huyo mwingine sio LL Cool J??
hukawii kusema Ambilikile Mwaisapile ni Kambarage...
kwa miaka ile aliyekuwa makete alikuwa anavaa buga na laizon