Mkuu, kuna mbali zaidi kipimdi Mobitel wameanza kutoa huduma kulikuwa na simu za Motorola Micro Tac Duo na Pro zote analugue. Kuongeza salio ilikuwa mpaka uende ukafoleni mtaa wa Lugoda katika ofisi zao namalipo yalikuwa kwa Dola na kila siku dola moja ni lazima ikatwe. Hakika tumetoka mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.