NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Oct 31, 2013 #1 ZIKAJA HIZI HIZI NA NYINGINE NYINGI KAMA HIZI ZIKAINGIA NDO TUKAPATA NA ZA KICHINA PIA. Na sasa zinafanya watu kutohaminiana tena kwenye mapenzi,Siasa,Wakubwa pia wanaanza kufatiliana mazungumzo yao katika simu.. Na sasa si mbaya kama na watu wetu wa ujasusi Tanzania nao wakifatilia mazungumzo ya hawa maana tunakoeleka kutakuwa na kutoaminiana.
ZIKAJA HIZI HIZI NA NYINGINE NYINGI KAMA HIZI ZIKAINGIA NDO TUKAPATA NA ZA KICHINA PIA. Na sasa zinafanya watu kutohaminiana tena kwenye mapenzi,Siasa,Wakubwa pia wanaanza kufatiliana mazungumzo yao katika simu.. Na sasa si mbaya kama na watu wetu wa ujasusi Tanzania nao wakifatilia mazungumzo ya hawa maana tunakoeleka kutakuwa na kutoaminiana.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,177 Oct 31, 2013 #2 Hilo nalo neno!!
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Oct 31, 2013 Thread starter #3 Mgunduzi wa ile ya kwanza nampa like 100% tulikuwa tunazungusha tu kitu hicho hakuna sijui mtandao hakuna.
Mgunduzi wa ile ya kwanza nampa like 100% tulikuwa tunazungusha tu kitu hicho hakuna sijui mtandao hakuna.
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Oct 31, 2013 Thread starter #4 King Kong III said: Hilo nalo neno!! Click to expand... tena neno kweli kweli mkuu.
N nkululeko JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 275 Reaction score 94 Oct 31, 2013 #5 NAPITA said: Mgunduzi wa ile ya kwanza nampa like 100% tulikuwa tunazungusha tu kitu hicho hakuna sijui mtandao hakuna. Click to expand... Umenikumbusha mbali sana,mama alikuwa anaweka ndani ya kibox na kufuli watu tulikuwa tunapiga bill ikija mh...
NAPITA said: Mgunduzi wa ile ya kwanza nampa like 100% tulikuwa tunazungusha tu kitu hicho hakuna sijui mtandao hakuna. Click to expand... Umenikumbusha mbali sana,mama alikuwa anaweka ndani ya kibox na kufuli watu tulikuwa tunapiga bill ikija mh...
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Oct 31, 2013 #6 mbona kwenye ofisi kibao mpaka ulaya inatumika mpaka sasa
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Oct 31, 2013 #7 Ndio maaana walikuwa wanadukua simu za wengine ni sababu kama hizi zinazo husu muungano mpya wa kkk(tripple k) udukuzi huyo unahitajika kwetu pia juu ya hizi kkk
Ndio maaana walikuwa wanadukua simu za wengine ni sababu kama hizi zinazo husu muungano mpya wa kkk(tripple k) udukuzi huyo unahitajika kwetu pia juu ya hizi kkk
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Oct 31, 2013 #8 teknolojia ilianza kubadilika walipokuja kina TRITEL, BUZZ, MOBITEL, CELTEL na wengine.