NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250

ZIKAJA HIZI

HIZI NA NYINGINE NYINGI KAMA HIZI ZIKAINGIA NDO TUKAPATA NA ZA KICHINA PIA.

Na sasa zinafanya watu kutohaminiana tena kwenye mapenzi,Siasa,Wakubwa pia wanaanza kufatiliana mazungumzo yao katika simu..

Na sasa si mbaya kama na watu wetu wa ujasusi Tanzania nao wakifatilia mazungumzo ya hawa maana tunakoeleka kutakuwa na kutoaminiana.
