Mpira upi mkuu jagulan au. Maana sasa hivi MANCHESTER UNITED watashuka daraja wasipocheza mpira vizuri.hizi ndio kauli za wapenzi wengi wa kibongo, unakumbuka au unajilaumu katika maisha yako,umeyafanya haya mara ngapi? Unatumia mpira leo baada ya mwezi unaacha eti mmezoeana.
Mbaya zaidi ukimwi haumzoei mtu,hiyo ni justification ya wazinzi
Kondomu ni jezi ya wazinzi...
Heeeee makubwa!! Kwa hyo ww hutumiagiii eh??