Tumeshazoeana tuweke condom pembeni

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
38
hizi ndio kauli za wapenzi wengi wa kibongo, unakumbuka au unajilaumu katika maisha yako,umeyafanya haya mara ngapi? Unatumia mpira leo baada ya mwezi unaacha eti mmezoeana.
 
hizi ndio kauli za wapenzi wengi wa kibongo, unakumbuka au unajilaumu katika maisha yako,umeyafanya haya mara ngapi? Unatumia mpira leo baada ya mwezi unaacha eti mmezoeana.
Mpira upi mkuu jagulan au. Maana sasa hivi MANCHESTER UNITED watashuka daraja wasipocheza mpira vizuri.
 
Inatokea sana tu, tunafikiri mwenye ukimwi anamadonda nk!!! Ukiona hamna kitu kama hicho unajifariji huyu hana..!unavua unakula kavu n then baada ya miezi kadhaa mwenzio anaaza kukohoa na homa za mara kwa mara mkienda kupima ushaumia Siku nyiiingi..majuto anakuwa kitukuu
 
Mbaya zaidi ukimwi haumzoei mtu,hiyo ni justification ya wazinzi

Duh! Kweli mwekundu umekua 'good boy hommie!' au watakaoa kaka?
Hahahahahaaaa!
Tuambizane!
...
Kudadadeki! Kama vipi nakutafutia nafasi angaza kule! Teh teh teh!
...
Cc Mentor!
 
Last edited by a moderator:
Mbaya zaidi ukimwi haumzoei mtu,hiyo ni justification ya wazinzi

mwekundu ; usimcheke mkunga na uzazi ungalipo!!!! si kila mwenye ukimwi kaupata kwa njia ya zinaa. wengine wameletewa kwenye matrimonial bed bila kupenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom