Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
na wale maccm warudi mitaani wakaendelee na biashara yao ya kuuza unga!hao ni wahuni, warudi wakaendeshe madanguro yao bilikanas huko
pamoja sana!!!!!!!!!!!!!!
kweli ni majanga kama ccm na ndugai!Kumbe sugu hata kuandika maelezo hajui kweli majanga.
Mimi niseme tu kwambwaaa wabunge wengi wa upinzani ni khasara kubwa mno katika taifa la Tanzania. Yaani muda huu wenzenu wanachapa kazi kuwatumikia waliowapa kura nyie mko polisi, mara jf' kutafuta huruma ya watu, mara mmetukana agrrr! Hebu badilikeni mnatia taifa aibu. Nyinyi (wb) wapinzani hamstahili hata hiyo sifa ya uheshimiwa.
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Kila la kheri Dogo,tunasikitishwa na udikteta wa naibu spika
pipooooooz
Mwambie Mhe Sugu asiwe na wasiwasi Mapokezi ambayo watu wa Mbeya wanaandaa zitakuwa salamu tosha kwa Ndugai & co
ukombozi unakaribia dhidi ya mabeberu wa mabwe pande