Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

 
asikari kuingia bungeni si kosa?
muongozo....
 
pa1 kamanda
 
hao ni wahuni, warudi wakaendeshe madanguro yao bilikanas huko

wateja wakuu ndio hao wabunge wa magamba na mawazir si ndio wanaokesha hapo billicanas mpaka asubuhi by dr.slaa
 
Kumbe sugu hata kuandika maelezo hajui kweli majanga.
 

hapo kama sikosei utakuwa unakunywa CHANG'AA, siyo akili yako!
 
Hivi Sugu alikurupuka tu kama kichaa akamtandika huyo poliCCM bila sababu??
 
wateja wakuu ndio hao wabunge wa magamba na mawazir si ndio wanaokesha hapo billicanas mpaka asubuhi by dr.slaa
Hayo madawa yenu tumieni wenywe tu wala msimsingizie mtu sugu alianza bangi yuko shule ya msingi unatarajia nini.
 
km uhuni anaoufanya mbowe wa kutumia vibaya nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni kuongoza uhuni, vurugu, kupiga askari na kutukana badala ya kujenga hoja

Hoja hujengwa baada ya kupewa nafasi,,,,je alipewa nafasi ya kujenga hoja?
 
Siwapendi ccm hadi Mungu hapendi , Sugu da day will come everything gonna makes sense ...
 
Hongereni na poleni sana makamanda, mpaka bungeni polis wanawafuatilia! Siku nyingine mtandikeni huyo naibu spika, watanzania tumechoka kuongozwa na spika kwa maslahi ya ccm badala ya taifa!
 
Chadema eti kila mtu mhuni sijui watu wa aina gani hawa.
 
Tatizo watanzania tumekosa kujitambua, na siku zote penye haki ya kufanya changes katika nchi yatubidi tuungane pamoja, kazi waifanyayo vyama vya siasa kuibadili nchi ni kubwa mno, hebu tuwape sapoti na si kuwatukana matusi tu, huu ni muda wa kuondoa mfumo wa chama kimoja!
 
sorry, jina lako ni mrs manase ee?

ndio maana nikakwambia una matatizo ya akili wewe! Inaonekana kabisa ni mr.manase wewe unasema mrs.manase mtindio wa ubongo unakusumbua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…