DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Chaula alimtukana nani?

Kuzusha uongo adhabu yake ni Kifo?

Ni lini hao vijana walitukana Viongozi? Ebu lete video au maadishi yao wakitukana hao viongozi

Hakuna kitu cha thamani kwa binadamu kama uhai,hakuna Koda la kumtoa binadamu mwenzio uhai hapo
Achana na hilo senge wameshalitatua marinda.
 
Huu uzi.....
Screenshot_2024-12-03-17-22-50-290_com.android.chrome.jpg
 
Hakuna haja ya utafiti mkubwa kujua wanaoteka watu ni polisi na usalama wa taifa.

Mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa 2023 chini ya bunge kibogoyo ilikuwa ndio maandalizi ya haya yote.

Hakuna nchi inayojielewa itaweka kinga kama ile ambayo inatoa mwanya kwa mazingira fulani kutumika vibaya.

Watekaji wanajulikana maana mtu yoyote akianza kugusia masuala yao na wanamjua basi wataanza kumuwinda

Mfano , Maria Sarungi, Polepole , Gwajima, Sativa n.k
 
Acting DG-EYE-S mpaka anamaliza kipindi chake zile kontena za silaha alizoingiza zitakuwa zimemaliza wanahatakati na Gen-Z wengi sana!!
Wanapruni matawi kwa Kasi shida yanaota mapya kila leo.

Kingine Watu Hadi Miji Yao, biashara zao na wanufaika was familia walioko Doo bay wanawajua fika.

Kuna kazi mjini.
 
Wanapruni matawi kwa Kasi shida yanaota mapya kila leo.

Kingine Watu Hadi Miji Yao, biashara zao na wanufaika was familia walioko Doo bay wanawajua fika.

Kuna kazi mjini.
Hauwezi kuwamaliza wanaharakati kwa kuwaua ,kadri unavyowabinya ndivyo wanavyozidi kutoka tena wanakuwa hatari kuliko wa mwanzo ,walianza na Ben saanane wakajua ndiyo wamemaliza lakini wakaja wengi zaidi tena SPANA za moto ,wafanye kama USA wananchi wanauhuru wa kutoa maoni na hawabughuziwi na mtu yeyote.

Ukiwa kiongozi vumilia kukosolewa kama hautaki kukosolewa ni bora usigombee hizo nafasi...binaadamu wameumbwa kusema iwe kwa mazuri au mabaya!
 
Mkipitisha hata Sensa ndogo mtagundua maelfu kwa maelfu ya Vijana wa kiume hawapo Tena.
 
Back
Top Bottom