DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hoja zako hazina mashiko kila sehemu wazazi wanafokea watoto na wanatishiwa kuhusu moto wa mbinguni

Kilichopo Tz kiuhalisia ni kuwa muda wa kuandamana haujafika ukifika haitahitaji kupanga tarehe ukijiona unapanga tarehe ya maandamano ujue muda bado na hamtaandamana, ikifika siku sahihi kila mtu atatoka ndani bila kuambiwa na mtu

Ni mawazo yako tu nayaheshimu japo ni takataka, so bandiko zima limeongelea wazazi kufoka tu? Anyway umeprove tu kuwa sehemu ya matokeo ya bandiko na pia ni kawaida ya wabongo kujibu usichoulizwa kwa elimu yetu hii ya kudesa past papers zenye umri wa mzazi wako, wapi nimeongelea maandamano mkubwa?
 
Policcm nilinyoosha mikono ushetani wao ni pale walipomkamata chaula mara ya pili baada ya kuumbuka na kesi yao ya mchongo mwana wakamchukua rasmi akapotea mazima....pain sana haya mambo sie wananchi ndio tunayalea.

Hahah hao ni wahuni tu sio polisi kaka.

Mambo ya polisi nchi hii yanajulikana ni Rushwa na Kubambikia kesi wapate hongo.

Haya ya kuua ni ya Wahuni fulani anao wasema pole pole
 
unatukana hovyo viongozi unazusha na kueneza uongo na chuki halafu wakuchekee tu
Chaula alimtukana nani?

Kuzusha uongo adhabu yake ni Kifo?

Ni lini hao vijana walitukana Viongozi? Ebu lete video au maadishi yao wakitukana hao viongozi

Hakuna kitu cha thamani kwa binadamu kama uhai,hakuna Koda la kumtoa binadamu mwenzio uhai hapo
 
Sasa Chaula ni mtu wa kuhangaika naye kweli. The guy was just too young.
Sijui hata kama alimaanisha alichokifanya.
Yaani hawa jamaa wameua sisizimizi kwa nyundo ,hawatumii akili kabisa ,ni zero brain ndiyo maana hata "press" zao ukizisikiliza yaani ni ujinga na upuuzi mwingi hata mtoto wa kindagateni anajua kama ni FUTUHI.(Maigizo)

Chaula hana threat ya aina yeyote ,innocent kid ,alifanya just kwa trending and challenges za kimtandao kupata likes and comments lakini vilaza pasipo kutumia akili wamemuua.
 
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
  1. Mdude Nyagali
  2. Deusdedith Soka
  3. Chaula
Na wengine wameuawa tayari

Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini

Britanicca
Wote watakufa, damu ya mtu huwa haipotei bure.
 
Policcm nilinyoosha mikono ushetani wao ni pale walipomkamata chaula mara ya pili baada ya kuumbuka na kesi yao ya mchongo mwana wakamchukua rasmi akapotea mazima....pain sana haya mambo sie wananchi ndio tunayalea.
Mzee wake ni mpole na muungwana sana. Mimi ningeweka kambi ikulu pale waniambie kijana wangu amekwenda wapi.
 
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
  1. Mdude Nyagali
  2. Deusdedith Soka
  3. Chaula
Na wengine wameuawa tayari

Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini

Britanicca
Samia ni mwanamke katili sana ameua Watanganyika wengi sana kuliko Rais yoyote, huyu mwisho wake utakuja kuwa mchungu sana zaidi ya shubiri.
 
Back
Top Bottom