The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,925
Duh!!kizazi kama cha chaula ukikiacha kitaambukiza vijana wasio na maadili kama cha kenya dawa ni kupotezwa kabisa
Duh!!kizazi kama cha chaula ukikiacha kitaambukiza vijana wasio na maadili kama cha kenya dawa ni kupotezwa kabisa
Mnyama simba ni huishi porini, chakula chake ni kula wanyama waliyo hai kwa kuwawinda tena wale anaoishi nao huko porini, huogopewa takriban na wanyama wote wa porini, sasa ikitokea mnyama mwingine akaingia kwenye anga zake basi uhai wake unaweza kukatishwa mara moja na mnyama simba, hivyo ni tahadhari ya kuchukua kwamba usimkaribie mnyama simba na kaa naye mbali kabisa ama sivyo uhai wako nao utapotea sababu ili yeye aishi ni lazima uhai wa mwingine uondoke na ukitaka wewe uishi hakikisha unakaa naye mbali au uhai wake unaondoka. Lakini nani anaweza kuondoa uhai wake? Kwani yeye ni mfalme wa nyika na ndiye sababu ya kuweka mizania porini, ikiwa mnyama simba hatakuwepo basi wanayama wengine wanaokula majani wanaweza kukithiri na kusababisha madhara ya njaa kwa wale wanaotegemea vyakula vya kilimo.Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Na wengine wameuwawa tayari
- Mdude Nyagali
- Deusdedith Soka
- Chaula
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini
Britanicca
Qmmk!kizazi kama cha chaula ukikiacha kitaambukiza vijana wasio na maadili kama cha kenya dawa ni kupotezwa kabisa
Nakufollow sio kwamba ni mazuri ila nisiku nasisi tukinyanyua upanga tujue tunaushushia wapiTumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Na wengine wameuwawa tayari
- Mdude Nyagali
- Deusdedith Soka
- Chaula
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini
Britanicca
Unadhani mpaka wanyanganywe dola, we subiri uanze kusikia waki tema bungo au kula shaba hadharani.Ndiyo sababu wanatengeneza njia za kurthishana wenyewe kwa wenyewe; kulinda maovu yote waliyo wafanyia waTanzania.
Ikitokea wakanyang'anywa mamlaka, hawa siyo watu watakaobaki kuishi ndani ya nchi hii. Ni lazima waikimbie nchi.
Maisha ya kila kiumbe yana thamani kubwa haijalishi kichaa au mzima ,mtoto au mkubwa.CCM imeharibu sana hii nchi kwa kiasi kikubwaSasa Chaula ni mtu wa kuhangaika naye kweli. The guy was just too young.
Sijui hata kama alimaanisha alichokifanya.
Mafisadi na wauaji wana maadili?kizazi kama cha chaula ukikiacha kitaambukiza vijana wasio na maadili kama cha kenya dawa ni kupotezwa kabisa
Aiseee! kwamba unamaanisha kwamba WATUKANAJI na WAZUSHI wote hukumu yao ni KUUAWA na mamlaka na siyo kukamatwa na kupelekwa mahakamani ili sheria iamue?.unatukana hovyo viongozi unazusha na kueneza uongo na chuki halafu wakuchekee tu
Inaonekana hata kuandamana hujawahi ndo maana unasema hawana vifaa vya kuvaa hadi miguuni kuzuia maweWatanzania ni uoga ndo uliosababisha kufika hapa tulipo, watu wanatekwa mchana kweupe wakijua watanzania hakuna kitu watafanya.
Ila siku tukishinda huu uoga, tukaungana kwa wingi wetu bila kujali itikadi za vyama na wala dini, ni rahisi sana kuitoa serikali iliyopo madarakani, kwanini?, kwasababu Tanzania haijawah kutokea movement kubwa kuipinga serikali hivyo hata serikal hawaja wekeza kwenye resources za kutosha kupambana na hvyo vitu.
Mfano kenya ina uzoefu, ndo maana hata askari wao wana hadi kinga za miguu kama za waendesha piki piki, ili kuzuia kupigwa mawe ya ugoko wakati Tanzania wanavaa field force tena sio wote, magari ya washa washa hayazidi kumi Dar nzima, idadi ya askari active ni ndogo sana tofauti na kenya ambayo ina recruit polisi wengi ili kujiandaa na maandamano ya kila kukicha.
Kama Tanzania ikiandamana, mfano Dar tukajitokeza watu kuanzia 20,000 kwenda juu, serikali inaanguka masaa machache tu.
Zanzibar tu ilibidi vijana wa JKT wavalishwe nguo za polisi, na hyo ilikuwa ni upinzani tu, imagine watu wote bila kujali chama wakaungana.
Mtwara ilibidi ipeleke Jeshi kwenye lile sakata la gesi. Kwa ufupi polisi wa Tanzania kwenye swala la maandamano ni bado sana, nguvu yao ni ndogo, Na hyo ndo faida TZ inayo kama siku tukiamka kupambania Haki.
Halafu kosa lenyewe ni kuchana picha tu ambayo ameichora mwenyewe.Policcm nilinyoosha mikono ushetani wao ni pale walipomkamata chaula mara ya pili baada ya kuumbuka na kesi yao ya mchongo mwana wakamchukua rasmi akapotea mazima....pain sana haya mambo sie wananchi ndio tunayalea.
Hoja zako hazina mashiko kila sehemu wazazi wanafokea watoto na wanatishiwa kuhusu moto wa mbinguniMakuzi ya watanzania yanasababisha hulka za uoga wa mamlaka, maana tangu anazaliwa anaishi kwa kutishwa tu kuanzia na mama yake kichanga kinafokewa, kinatukanwa na wazazi wake, then siblings wakubwa wanawatisha na kuwaadhibu wadogo zao, then anakua kidogo anaendelea kutishwa tu mara kuna moto mbinguni mara baba yako atakuchapa, mara anachapwa kweli, then bulling ya vijana wenzao inafuata. Halafu akikua kidogo anapelekwa madrasa na makanisani huko nako ni vitisho tu kufundishwa na kuogopeshwa muda wote mara kuna Mungu na shetani na mapepo, majini just horror stories muda wote, wengine wanatishwa hata giza ni adui.
Halafu anakua anakwenda shule huko nako kuanzia kindergaten, elementary, secondary hadi chuo kikuu kijana wa kitanzania anaendure maisha ya vitisho tupu kila level ya maisha yake, walimu ni kuchapa fimbo, assignment za kukomoa, kukaririshwa, kusulubiwa tu, wengine na ngono pia watoe just threats.
Wanagraduate wanakutana na vitisho vya mama, wanajeshi, mapolisi, wanasiasa wa uvccm na baba na mama zao, vitisho vya kina makonda, vingine vya bongofleva, wengine vya manabii na mashekhe na wazazi wapo pia na vitisho vya kutoa radhi. Hata wamama kwa waume zao ni threats tupu zinasongesha maisha ya wabongo
Ni kijana au mtanzania gani anaweza kumhoji au kumstaki baba au mama yake anapokosea? Kama hawezi the anawezaje kuhoji mamlaka za serikali kama polisi, mahakama, RC na DC na mateam yao? Hamna yani jamii ya kitanzania imetengenezwa hivyo
So kwa mfumo huu hamna umri wala makuzi yanayotolewa ya kumpatia mtanzania "kujiamini" au confidence kwa lugha ya kikristo, mtanzania kila anachofanya wenye mamlaka kila level wanamponda na kumfanya ajione mnyonge, hajui kitu, hastahili kitu, hana haki, hana akili, mpumbavu nk, na analazimika kuishi hivyo.
Ndio maana hadi kuna watu wanaona sifa kuchapwa fimbo na kuja kuanzisha nyuzi za idadi ya fimbo walizowahi kuchapwa na wazazi au walimu wao (kifupi ni wenye mamlaka juu yao)!
So kama hakutakua na mabadiliko ya kijamii ya namna ya kukuza vijana wetu wakapata ujasiri wa kuhoji na kukataa kuburuzwa kuanzia level ya kifamilia kwenda juu, itatuchukua muda mrefu sana kupata watu wanaoweza kuongea na kusimamia hoja zao bila kujipendekeza kwa wenye mamlaka. Mtoto anayekua kwenye familia ya baba na mama wanaoogopeka ataogopa kila mamlaka atakayokutana nayo maisha yake yote...
Wengine wanaanza kujipendekeza kwanza kwa wazi wake wapate acceptance, na wanaendelea hivyo shule, kanisani, misikitini, na hata wanapokua wanakua ni kundi la kujipendekeza kwa watawala na wakubwa (perceived) maisha yao yote
Duh! Kwa kweli ni vizuri kujua wahusika halisi wa vitendo hivi vya kidhalimu. Tunajua kuwa polosi ni wahusika wakuu lkn tuangalie namna kuwashitaki individuals.Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Na wengine wameuwawa tayari
- Mdude Nyagali
- Deusdedith Soka
- Chaula
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini
Britanicca