Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,445
Wapendwa katika bwana,

Naomba nijibiwe baadhi ya mambo yanayo nitatiza sana,mimi nimeokoka na namcha Mungu,babu yangu amefariki akiwa na miaka 114.

Babu alikiwa hajaokoka lakini kwa mtazamo wangu alikuwa anamcha Mungu sana,lakini alikuwa anakunywa pombe wakati mwingine,siku babu amefariki alituita wote akasema anaondoka kwani malaika wamekuja kumchukua,babu akakata roho.

swali,
Kama tunaokoka kwa neema na sio uwezo wetu je wale watu ambao wanajitahidi kwa nguvu zao kumcha Mungu na the same time hawajaokoka inakuwaje je wanaenda mbinguni?

Je babu yangu kama alisema malaika wamekuja kumchukua je pamoja na kwamba alikuwa hajaokoka alienda mbinguni?
 
kuna aina nyingi za malaika mkuu lazma ujue hilo.bible inasema aaminie na kubatizwa ataokoka kinyume na hayo hakuna shortcut labda yule aliepewa golden chance aliposulubiwa na Yesu msalabani
 
Unajua Dada hats malaika wa Giza hujigeuza malaika wa nuru sasa hatujui hao malaika waliokuja kumchukua babu yako ni malaika wa nuru au wa Giza. Nakupongeza kwa kuokoka umefanya uamuzi sahihi kabisa
 
wapendwa katika bwana,
naomba nijibiwe baadhi ya mambo yanayo nitatiza sana,mimi nimeokoka na namcha Mungu,babu yangu amefariki akiwa na miaka 114,babu alikiwa hajaokoka lakini kwa mtazamo wangu alikuwa anamcha Mungu sana,lakini alikuwa anakunywa pombe wakati mwingine,siku babu amefariki alituita wote akasema anaondoka kwani malaika wamekuja kumchukua,babu akakata roho,,,
swali,
kama tunaokoka kwa neema na sio uwezo wetu jr wale watu ambao wanajitahidi kwa nguvu zao kumcha Mungu na the same time hawajaokoka inakuwaje je wanaenda mbinguni?
je babu yangu kama alisema malaika wamekuja kumchukua je pamoja na kwamba alikuwa hajaokoka alienda mbinguni?

Samahani sana dada yangu sababu mimi nilitaka kujua kwanza, hivi mwanadamu anaokoka vipi?
 
Walokole bana........Kuishi miaka mingi hivyo hiyo ni neema sana Mungu kamjalia Babu yako.....Huyo kaenda Mbinguni..
 
pokea like yangu passion lady
Hivi kua mlokole ndio
kwenda mbinguni'mbinguni mtu anaenda kulingana na matendo yake na si kwa
vile aliokoka,kwanza asilimia kubwa ya wanaojifanya wameokoka ni
wanafki,wazandiki hawana lolote!
 
Nijuavo mimi kuokoka ni kuwaa mfuu kwani ukiwa mfuu huwezi tennda zambi wala kupunguza zambi? Kwamana iyo mlokole alioko duniani ana weza kutenda zambii na kutubu kilabada ya siku au wik utawasikia wakitubu sasa ulokole wataupatia wapi ukitamani tu yenyewe zambi sasa ulokole unatoka api? Hikitu yakuji ita ulokolee jamanii mweeeeh?
 
kuna aina nyingi za malaika mkuu lazma ujue hilo.bible inasema aaminie na kubatizwa ataokoka kinyume na hayo hakuna shortcut labda yule aliepewa golden chance aliposulubiwa na Yesu msalabani
Vipi kina Ibrahim, Eliya, Daud na wengine kabla na Yohana Mbatizaji of course kabla ya Yesu pia hawajaokoka?

Mimi naamini Mungu amejifunua kwa watu wengi na mbali mbali nje ya Israel, sasa kwa vile hakukuwa na maandishi kama huko kwa wenzetu basi hatuwezi sema kwa uhakika.
 
kuna aina nyingi za malaika mkuu lazma ujue hilo.bible inasema aaminie na kubatizwa ataokoka kinyume na hayo hakuna shortcut labda yule aliepewa golden chance aliposulubiwa na Yesu msalabani

Maisha yanazidi kuwa magumu sasa, sasa malaika wa giza akija na nuru; akija wa ukweli utajuaje?
 
Weka picha za babu na hao malaika wake
 
wapendwa katika bwana,
naomba nijibiwe baadhi ya mambo yanayo nitatiza sana,mimi nimeokoka na namcha Mungu,babu yangu amefariki akiwa na miaka 114,babu alikiwa hajaokoka lakini kwa mtazamo wangu alikuwa anamcha Mungu sana,lakini alikuwa anakunywa pombe wakati mwingine,siku babu amefariki alituita wote akasema anaondoka kwani malaika wamekuja kumchukua,babu akakata roho,,,
swali,
kama tunaokoka kwa neema na sio uwezo wetu jr wale watu ambao wanajitahidi kwa nguvu zao kumcha Mungu na the same time hawajaokoka inakuwaje je wanaenda mbinguni?
je babu yangu kama alisema malaika wamekuja kumchukua je pamoja na kwamba alikuwa hajaokoka alienda mbinguni?

unaamini vipi kuwa wale walikuwa malaika?
 
[FONT=lucida
console]Samahani sana dada yangu sababu mimi nilitaka kujua kwanza, hivi
mwanadamu anaokoka vipi?[/FONT]

Hata mimi napata shida kidogo kupata definition ya Kuokoka, labda huyu mdada atusaidie.
 
Nijuavo mimi kuokoka
ni kuwaa mfuu kwani ukiwa mfuu huwezi tennda zambi wala kupunguza zambi?
Kwamana iyo mlokole alioko duniani ana weza kutenda zambii na kutubu
kilabada ya siku au wik utawasikia wakitubu sasa ulokole wataupatia wapi
ukitamani tu yenyewe zambi sasa ulokole unatoka api? Hikitu yakuji ita
ulokolee jamanii mweeeeh?

Oops!
Na atakaye fika mwisho ndiye atakaye...
 
Hivi kua mlokole ndio kwenda mbinguni'mbinguni mtu anaenda kulingana na matendo yake na si kwa vile aliokoka,kwanza asilimia kubwa ya wanaojifanya wameokoka ni wanafki,wazandiki hawana lolote!


Matendo yake mtu ndiyo yatamnusuru na hali yoyote ile!
Halafu rosemarie jukwaa la DINI kwako hauoni?
Thread hii ingependezea huko!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom