Badilisha namba ya simu rahisi sana.
Block!
Kwa nini kusumbua wengine kisa mtu mmoja.
Badilisha namba ya simu rahisi sana.
wazoee hao viumbe wanaokwenda chooni kwa kuchuchumaa
Stay calm yana mwisho hayo
Mblock kila mahala kuanzia kwenye simu hadi akilini
Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma,
Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika,
Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole unaweza kufyata.
Nikaona isiwe tabu, nikawa mpole tuu na hamsini zangu, sitaki kuzama kwenye penzi ambalo litakuja kunitesa.
Sasa ikafika hatua ya kuvunja rasmi uhusiano wetu, daah alikuwa ananirushia mipasho isiyo ya kawaida.
Sikutaka majibizano, katika kumi naweza kujibu moja tu, tena kwa maneno mefupi yenye hekima.
Sasa kila baada ya muda fulani lazima atupie sms au kwenye whatsapp mipasho kama ya pwani aisee,
Maneno ya mafumbo, ya kejeli mpaka basi. Sasa hebu nishaurini nifanyeje ili asinisumbue tena?
Au bado hajaridhika kuachana na mimi? Au anatafuta gia ya kurudi? Bahati mbaya sijafundishwa kudeka kwa mwanamke.
Namba yake unabaki nayo ya nini mkuu!!?

Mkuu SIPIYU30, binadamu tunatofautiana kitabia. Kuna watu ambao wakiachana na wapenzi wao hupenda kutoa mipasho, wengine kejeli, wengine matusi wengine hudiriki hata kulipiza kisasi na kudiriki kuwadhuru wale ambao walikuwa wanawapenda.
Mimi nakushauri wewe ukae kimya jifanye kama huoni wala husikii atendayo, atahangaika weeeee... atakuchamba weeee... atakusema weeee... lakini kama hutojibu chochote mwisho wa siku atachoka kwa sababu atajiona mjinga na anajisumbua bure lakini ukijaribu kumjibu na utaanzisha vita ambayo hutaweza kuizima ambayo itakugharimu sehemu kubwa ya maisha yako na kukuchafulia jina lako maana mtu anapokuwa na hasira haoni shida hata kutoa siri za ndani ambazo hakupaswa kuzitoa kwa namna yoyote ile na bila shaka unafahamu kuwa mwanaume hawezi kubishana na mwanamke kwa sbabau mwanamke ana uwezo wa kuongea zaidi kuliko mwanaume. So kuwa makini mkuu, dont let your anger take control of your judgement.
Tupo wengi kaka,mbaya zaid kwangu ninaambiwa kwake nilikuwa kama spare tyre mi nakaa kimya wala cmjibu,naitwa ninadharau nk ,, bado nasumbuliwa mpaka basi.Mimi hiyo hali ndiyo ninayo sasa ila nimenyamaza kimyaaaaaa
Tatizo ni kwamba watu wanajaribu kuachana huku bado wanapendana.
Kwanza simu zinaruhusu kublock mtu ambaye hutaki kuwasiliana naye na pili akizidi kusumbua unaenda polisi.
Hizi nazo ni kesi za kuleta MMU?
Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma,
Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika,
Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole unaweza kufyata.
Nikaona isiwe tabu, nikawa mpole tuu na hamsini zangu, sitaki kuzama kwenye penzi ambalo litakuja kunitesa.
Sasa ikafika hatua ya kuvunja rasmi uhusiano wetu, daah alikuwa ananirushia mipasho isiyo ya kawaida.
Sikutaka majibizano, katika kumi naweza kujibu moja tu, tena kwa maneno mefupi yenye hekima.
Sasa kila baada ya muda fulani lazima atupie sms au kwenye whatsapp mipasho kama ya pwani aisee,
Maneno ya mafumbo, ya kejeli mpaka basi. Sasa hebu nishaurini nifanyeje ili asinisumbue tena?
Au bado hajaridhika kuachana na mimi? Au anatafuta gia ya kurudi? Bahati mbaya sijafundishwa kudeka kwa mwanamke.
Mkuu naomba unelekeze jinsi yakum'block mtu asinipate kwa njia ya SMS na call.Natumia HUAWEI
fanya kama humwoni.usimjibu tulia tuliii.utapata majibu.anataka kujirejeshaKuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma,