Tumemwagana lakini amegeuka kero

Tumemwagana lakini amegeuka kero

Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma,
Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika,
Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole unaweza kufyata.
Nikaona isiwe tabu, nikawa mpole tuu na hamsini zangu, sitaki kuzama kwenye penzi ambalo litakuja kunitesa.
Sasa ikafika hatua ya kuvunja rasmi uhusiano wetu, daah alikuwa ananirushia mipasho isiyo ya kawaida.
Sikutaka majibizano, katika kumi naweza kujibu moja tu, tena kwa maneno mefupi yenye hekima.

Sasa kila baada ya muda fulani lazima atupie sms au kwenye whatsapp mipasho kama ya pwani aisee,
Maneno ya mafumbo, ya kejeli mpaka basi. Sasa hebu nishaurini nifanyeje ili asinisumbue tena?
Au bado hajaridhika kuachana na mimi? Au anatafuta gia ya kurudi? Bahati mbaya sijafundishwa kudeka kwa mwanamke.

Ivi kwenye simu yako hakuna blocking option ebu tumia nguvu kidogo.
 
kuna aina ya shule zinatia uzezeta hasa inapotokea unatakiwa ku intergrate na jamii kwa mambo social kama haya.

ikiwa hivyo unavyoviita ni vijembe na mipasho vina chembechembe ukweli basi nakushuri uji-tune kufurahia mawasiliano na huyo mdada kwa maana kuna vitu uta/najifunza kwa njia tofauti na ya "FEZA"

hakuna sababu ya kum - block, kufanya hivyo ni ku admit mapungufu na pengine wewe ndio chanzo cha kumwagana.

Ukiishi uswahilini jifunze kiswahili.
 
Duuh!! Kumbe huwatokea wengi, miezi kama sita iliyopita hali hiyo ilinitokea demu alibwata kinoma, aliongea kila aina ya tusi lililopo duniani na siku amini kama yale ni maneno yanamtoka huyo dada ambaye awali alionekana kuwa descenti na mcha Mungu.

Ndipo niligundua kuwa hakuwa chaguo sahihi kwangu.
Nilikaa kimya pamoja na kuporomosha mitusi dhidi yangu, hata hivyo baada ya mwezi hivi alirejea kuniomba msamaha eti turudiane. Nikajifanya mnafiki mkuu nikaenda kwake nilikula Papuchi 24 hrs nikasepa moja kwa moja.
 
kwan ww bado unampenda au kama upendo haupo tena basi muweke kwenye black list
 
wee bado unampenda hujafuta namba yake kwann..... ??
 
Nenda kwenye contact, select mhusika. Chini kwenye simu yako kuna vidoti vitatu, select hapo upate options na utaona "add to blacklist". Select hiyo na mipasho hutaiona tena kwenye Huawei.
 
Nashangaa vijana wa siku hizi yaani shidaa

mambo ya chumbani kwake analeta mmu na tena hadharani wakati
wanachukuana mbona hakuleta hapa maji yamemfika shingoni anaganda ka barafu hapa
tatizo ni kwamba watu wanajaribu kuachana huku bado wanapendana.

Kwanza simu zinaruhusu kublock mtu ambaye hutaki kuwasiliana naye na pili akizidi kusumbua unaenda polisi.

Hizi nazo ni kesi za kuleta mmu?
 
umenikumbusha ujana wangu aisee, wakati ndo simu za kamera zinaingia mmoja hivi usilogwe umwambie nmetoka kuoga atataka eti utanue miguu upige picha umtumie kwa fb sijui eeehhhh usipotuma kapicha basi ujiandae kutukanwa huna mapenzi ya kweli ni mjeuru mnuno wa week lazima.

mwishoni nkaona kama kupiga picha papuchi ilivyo na sura mbaya nimtumie aiwez akigegenda aangalie inatosha. kila mara basi hujali hisia zangu tuachane zilipofika tuachane 5+ minuno kisa picha ya hivyo nkafanya kweli na mimi kaja baada ya week 2 ooohhh wewe unaniaaliti blablaa kibao hukuwa na mapenzi ya kweli kumbe alikuwa ananitishia tu kuachana maana anajua ntambembeleza nkamuacha tu maana mwanaume kugombana hivyo kisa picha papuchi siyo kabisa,

alihangaika sana japo sikurudi myoa mada kuna watu huwa wana mdudu wa sikio aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom