Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma,
Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika,
Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole unaweza kufyata.
Nikaona isiwe tabu, nikawa mpole tuu na hamsini zangu, sitaki kuzama kwenye penzi ambalo litakuja kunitesa.
Sasa ikafika hatua ya kuvunja rasmi uhusiano wetu, daah alikuwa ananirushia mipasho isiyo ya kawaida.
Sikutaka majibizano, katika kumi naweza kujibu moja tu, tena kwa maneno mefupi yenye hekima.
Sasa kila baada ya muda fulani lazima atupie sms au kwenye whatsapp mipasho kama ya pwani aisee,
Maneno ya mafumbo, ya kejeli mpaka basi. Sasa hebu nishaurini nifanyeje ili asinisumbue tena?
Au bado hajaridhika kuachana na mimi? Au anatafuta gia ya kurudi? Bahati mbaya sijafundishwa kudeka kwa mwanamke.