Tumekwama barabarani usiku huu kwa matukio haya mawili

Watanzania kwa kulalamika!
Unataka msaada wa mvua kunyamazishwa ili upiite haraka au unataka msaada wa kulindwa ukiwa porini?
Wewe nae licha ya kuwa na kichwa kikubwa akili ni tatizo, mwenzako anataka ulinzi kutokana na kuwepo genge la watekaji wewe unazungumzia mvua .
 
Kabla hujapost ha JF je umewapigia wahusika wa masuala ya usalama kuwajulisha dharura mliyonayo? Maana isije ikawa unasema tu hampati msaada wakati kutoa taarifa hujatoa.
good observation
 
Hivi wamejisimamisha wenyewe na kusema kuna mafuriko na wengine mbele wametekwa?
 
Kuna watu jf wana tatizo au ndiyo nao waonekane wameweka comments?
....
Hivi wamejisimamisha wenyewe na kusema kuna mafuriko na wengine mbele wametekwa?
 
Wewe nae licha ya kuwa na kichwa kikubwa akili ni tatizo, mwenzako anataka ulinzi kutokana na kuwepo genge la watekaji wewe unazungumzia mvua .
Aliemwambia asafiri usiku wa manane nani?
Unapoamua kusafiri usiku wa manane lazima uwe na tahadhari,halafu asilimia 80 ya wanaopenda kusafiri usiku ni wafanya biashara ya magendo na mihadharati kwa kua wakti huo polisi sio wengi
 
jama asubui pia barabarani ya Moshi arusha nayo ikikata maji eneo la mto biriri na mahari ya later ishindwa pita
 
Ila watanzania kwa kulalamika hatujambo. Mshaambiwa usafiri wa usiku ni hatari bado mnalazimisha kusafiri kisingizio mbona kenya wanasafiri usiku. Hizo mamlaka husika nao ni binadamu,kama bara bara haipitiki watapita wapi kuja kuwapa msaada?
 
Back
Top Bottom