johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,116
Siyo kila Mchumi anaweza kuwa Waziri wa Fedha na kiukweli katika Dunia ya sasa Wachumi hawapaswi kuwa Mawaziri wa Fedha
Moja ya Kazi za Waziri wa Fedha ni kusimamia Sera za kitaaluma Ili kuzuia Wizi wa Fedha za kodi ya Wananchi na zile za mikopo na michango ya wahisani
Hili jukumu Wachumi limewashinda ndio mbunge Mmoja akasema Wizi wa Fedha serikalini haujapungua ila Wezi wamebadili mbinu za Wizi na inashindikana kuwakamata
Kwa vile sasa Taifa lina Wabobezi wa Sayansi ya Fedha wa kutosha na hata bungeni wamo basi
tusisite kuwatumia
Ni hilo tu
Mpira ni burudani 😂😂