Upo sahihi hata polepole sina hakika kama alifikiri kuna siku kisu kitamgeukia.Kwa jinsi siasa za kimatumbi zilivyo hata anaeteka upepo unaweza geuka nae akawa mtekwaji
Wenye uhakika wa usalama kwa 100% hayupo , jambo likishafitinika ,huwa linakua na mwendelezo wa fitina tuUpo sahihi hata polepole sina hakika kama alifikiri kuna siku kisu kitamgeukia.
Kabisa, naamini hata yeye enzi zile ungemwambia kuna siku atanyweshwa kikombe alichokuwa anawanywesha wengine asingekuelewa. Hili liwe somo kwa walio mamlakani hivi sasa, Shetani hana urafiki wa kudumu, wacheze kwa stepUpo sahihi hata polepole sina hakika kama alifikiri kuna siku kisu kitamgeukia.
Kila lakheri mkuu hakikisha unasafisha hadi sisimizi kwenye kaya zaoNipo na tafakari nzito sana hapa, tangu nimeanza kuwaponda na kuwasagasaga hawa wavaa majani ndoto mbaya za majinamizi hazikati usiku, naona kunakitu tunatafutana siyo bule, wiki ijayo ninasafari kwenda Congo heshima lazima iwepo kwa vyovyote vile.
Limeisha hiloo.Kila lakheri mkuu hakikisha unasafisha hadi sisimizi kwenye kaya zao