Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kuna mambo yanaendelea yanaonyesha ni jinsi gani tumekosa ubinadamu watu wanaishi kama wanyama tena bora hata wanyama wanahurumiana wao kwa wao.
Kuna matukio yanaendelea duniani yanaonyesha ni jinsi gani ubinadamu umepotea kabisa watu wanauzana kama mafungu ya vitunguu sokoni kuna matukio tulisoma tu kwenye vitabu kama historia ila leo tunayaona mubashara.Uhai wa binadamu hauna dhamani tena Visasi,kuuana,Chuki zilizopitiliza ndo kasi vimeshika sasa.
Watu wakikuona kwenye Matatizo ndo furaha yao hakuna kupeana matumaini tena,hakuna kusadiana kwenye matatizo tena.
Tunaenda wapi???