Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,471
- 40,461
Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii
Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
Hua tunafanya vitu kwa imani na matumaini kua tutafika... Sisi tunapanga tunamkabidhi yeye atutimilizie. Kwa imani nasema 2050 nitakuwepo....Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii
Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
ha ha ha ha kwa nini mkuuWe jamaa unaonekana huna stress kabisa
Kwa nini mkuu umewaza hivi?Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii
Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
Ndio mkuu inabidi kukumbushana mapemaSherehekea kistaarab bila kuathiri ada za watoto na kodi.
Vinginevyo, kujipongeza muhimu maisha mafupi. Hata ukienda mbuga ya wanyama au Bagamoyo ukabadili malazi sio mbaya, mradi uwe umejipanga tu ili usije kupangwa.
Nakubaliana naweMIT. 30:8-9
Uniondolee ubatili na uongo;
Usinipe umaskini wala utajiri;
Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.
Nisije nikashiba nikakukana,
Nikasema, BWANA ni nani?
Wala nisiwe maskini sana nikaiba,
Na kulitaja bure jina la Mungu wangu
Sawa mkuu,ukipata kumi tumia mbili,nane weka akiba kwa ajili ya mwisho wa mwakaKipato na Uzima, vitaamua.
AmenHua tunafanya vitu kwa imani na matumaini kua tutafika... Sisi tunapanga tunamkabidhi yeye atutimilizie. Kwa imani nasema 2050 nitakuwepo....
Vizuri mkuu
Andaa salio mkuu,siku zinakimbia kweliKama ilivyo desturi
Ntakuwa pale marangu kula nyama
ha ha ha haNishakata tickets yang kbsàa ya kwenda Arusha Moshi
By marangu coach