Tumejiandaaje kwa sherehe za mwisho wa mwaka?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,810
39,018
Watu wengi hufurahia kuvuka mwaka mmoja kwenda mwaka mwingine.Leo ni mwezi wa kumi na umebaki mwezi mmoja kuingia mwezi Decemba wenye sherehe nyingi na vionjo vya kimahusiano.Ili ufurahie mwezi huo vizuri bila kuwa na kikwazo inakubidi mfuko wako uwe umekaa vizuri.Je mwenzangu na mie tumejiandaaje kwa kipindi hicho?
 
Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii

Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
 
Sherehekea kistaarab bila kuathiri ada za watoto na kodi.

Vinginevyo, kujipongeza muhimu maisha mafupi. Hata ukienda mbuga ya wanyama au Bagamoyo ukabadili malazi sio mbaya, mradi uwe umejipanga tu ili usije kupangwa.
 
Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii

Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.

MIT. 30:8-9

Uniondolee ubatili na uongo;
Usinipe umaskini wala utajiri;
Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.
Nisije nikashiba nikakukana,
Nikasema, BWANA ni nani?
Wala nisiwe maskini sana nikaiba,
Na kulitaja bure jina la Mungu wangu
 
Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii

Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
Hua tunafanya vitu kwa imani na matumaini kua tutafika... Sisi tunapanga tunamkabidhi yeye atutimilizie. Kwa imani nasema 2050 nitakuwepo....
 
Sina uhakika wa kufika hata kesho kama Mungu akiamua yake naweza kufa hata saa hii nikazikwa ikafika december na watu wawe wamenisahau kwenye uso wa dunia hii

Wallah Allah anipe uzima tu ndio nachoomba na anivushe kwa wakat huu nilonao kwa salama salmini, Amin.
Kwa nini mkuu umewaza hivi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom