TumeishaCHATI sana, Kesho Tunakutana LIVE

Kwa wakazi wa mkoa wa Daresalama, Ni sehemu gani tulivu naweza kumpeleka huyu mtoto mzuri ambaye nina ndoto za kuja kumuoa awe mama watoto wangu nyumbani. Kesho tumepanga kuonana nae RASMI kwa ajili ya mazungumzo ya awali kabisa ya urafiki wetu, sasa najifikiria nimpeleke sehemu gani ambayo ni nzuri kwa mazingira na utulivu mkubwa ambapo tutaweza kuwa huru kuzungumza mambo yetu safi kabisa na kupata chakula na vinywaji kwa bei ya kawaida tu. Ninakumbushia tu kwamba iwe sehemu nzuri ya kuvutia na gharama za mkutano wetu ziwe za kawaida.

Nawasilisha wadau..

Rhapsody's DaresSalaam
 
Jana mtoa uzi alikuwa mwingi wa gadhabu, jamaa anaomba ushauri watu wanaleta majibu ya kipumbavu
sasa mods wamefuta matusi ya jamaa ila reply za kijinga wameziacha
 
Hahahaaaa! Naanzaje kumfuata bila tija? Mie nipo tu huku namtumbo nimejichachiaaa hata vocha ya bando sina, mchango tafadhali muokoe jahazi, hebu niitie my kaka mito maana hali ni tete, hapa natumia simu ya mwenyekiti wa kijiji.

Nirushie namba yako ya tigo dada yangu, nikutoe fasta
Why uangaike na mimi nipo sista?
 
Kwa wakazi wa mkoa wa Daresalama, Ni sehemu gani tulivu naweza kumpeleka huyu mtoto mzuri ambaye nina ndoto za kuja kumuoa awe mama watoto wangu nyumbani. Kesho tumepanga kuonana nae RASMI kwa ajili ya mazungumzo ya awali kabisa ya urafiki wetu, sasa najifikiria nimpeleke sehemu gani ambayo ni nzuri kwa mazingira na utulivu mkubwa ambapo tutaweza kuwa huru kuzungumza mambo yetu safi kabisa na kupata chakula na vinywaji kwa bei ya kawaida tu. Ninakumbushia tu kwamba iwe sehemu nzuri ya kuvutia na gharama za mkutano wetu ziwe za kawaida.

Nawasilisha wadau..

Mkuu hayo si maisha. Majuto mjukuu...
 
Nirushie namba yako ya tigo dada yangu, nikutoe fasta
Why uangaike na mimi nipo sista?

Mweeeh mtandao wa watoto huo, mie natumia halotel ndio mtandao unaopatikana huku porini.
 
Kwa wakazi wa mkoa wa Daresalama, Ni sehemu gani tulivu naweza kumpeleka huyu mtoto mzuri ambaye nina ndoto za kuja kumuoa awe mama watoto wangu nyumbani. Kesho tumepanga kuonana nae RASMI kwa ajili ya mazungumzo ya awali kabisa ya urafiki wetu, sasa najifikiria nimpeleke sehemu gani ambayo ni nzuri kwa mazingira na utulivu mkubwa ambapo tutaweza kuwa huru kuzungumza mambo yetu safi kabisa na kupata chakula na vinywaji kwa bei ya kawaida tu. Ninakumbushia tu kwamba iwe sehemu nzuri ya kuvutia na gharama za mkutano wetu ziwe za kawaida.

Nawasilisha wadau..

eater point mkabala na nyumban lounge
 
Nitawasalimia hadi mkome(if ikitokea) ila hela sahauni kabisaaa, na posho ikiondolewa basi siongei chochote bungeni nitakuwa nasubiri mshahara tu, full kupiga mbonji.

Teh teh teh
 
Back
Top Bottom