TumeishaCHATI sana, Kesho Tunakutana LIVE

TumeishaCHATI sana, Kesho Tunakutana LIVE

Mmh hana kupokea advance yule, Shurti utume fungu zima

Hahahah yule posho ikikatwa tu ataandamana Peke ake tena kwa kichura chura kwa jinsi alivyo na ugwadu wa hela. Kutukumbuka atatukumbuka kwa salamu tu, hana kumkumbuka mtu kwa hela yule teh

Hahaaaa kama hawezi kuturushia japo tigopesa ya bando wala hata asitukumbuke kwa hizo salamu zake, salamu kavu kavu huku tunajua kaishatusua hatuzitaki kabisaa aisee

Goodnight sista, naona kope zinakosa ushirikiano sasa
 
Teh ni bora tusitegemee tu kupewa hizo tigo pesa ili tusijekuishia kuwa disappointed. Sina uhakika na yule ndugu yangu kabisa. Sweet dreams my kaka
 
Budget yako ni Tsh ngapi?
Katika siku unayoweza kutengeneza au kuharibu ni hiyo siku...!
 
Afu my kaka nilitaka nikwambie unitafute boss wangu atoto. Japo tunagombana sana lakini nimemmiss kweli

Teh teh teh teh, here i am na barrua ya kukufukuza kazi mkononi, how are you? Mimi mithi wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nimemmiss japo ananishushuaga

Ila nahisi atoto atakuwa dodoma, kama si kuapishwa basi kula vichwa vya waheshimiwa teh teh

Sitaki kuamini my kaka!! Kweli tumefikia huko!!
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nae tokea Juzi sema Ameondoka leo Kuelekea mkoani anapofanyia kazi

Wacha we! How you wish!!
Haya bwana msalimie sn akirudi kutoka huko mkoani anakofanyia kazi.
 
Hahaha dada ako kwa mashushu tu hajambo. Atakuwa anaapishwa tu Mheshimiwa atoto. Yule kumfata baby dom ni kazi unless baby awe ameshamtumia mkwanja kwenye account yake before safari kuanza

Hahahaaaa! Naanzaje kumfuata bila tija? Mie nipo tu huku namtumbo nimejichachiaaa hata vocha ya bando sina, mchango tafadhali muokoe jahazi, hebu niitie my kaka mito maana hali ni tete, hapa natumia simu ya mwenyekiti wa kijiji.
 
Last edited by a moderator:
Mmh hana kupokea advance yule, Shurti utume fungu zima

Hahahah yule posho ikikatwa tu ataandamana Peke ake tena kwa kichura chura kwa jinsi alivyo na ugwadu wa hela. Kutukumbuka atatukumbuka kwa salamu tu, hana kumkumbuka mtu kwa hela yule teh

Nitawasalimia hadi mkome(if ikitokea) ila hela sahauni kabisaaa, na posho ikiondolewa basi siongei chochote bungeni nitakuwa nasubiri mshahara tu, full kupiga mbonji.
 
Teh teh teh teh, here i am na barrua ya kukufukuza kazi mkononi, how are you? Mimi mithi wewe.
Teh hiyo ni hujuma so barua yako siitambui na huyo mfanyakazi atakayekuja kunireplace simtambui pia
Hahahaaaa! Naanzaje kumfuata bila tija? Mie nipo tu huku namtumbo nimejichachiaaa hata vocha ya bando sina, mchango tafadhali muokoe jahazi, hebu niitie my kaka mito maana hali ni tete, hapa natumia simu ya mwenyekiti wa kijiji.
Hamia Namkichwa utapata tu hela. Toka huko namtumbo
Nitawasalimia hadi mkome(if ikitokea) ila hela sahauni kabisaaa, na posho ikiondolewa basi siongei chochote bungeni nitakuwa nasubiri mshahara tu, full kupiga mbonji.
Ni maombi yangu kuwa hutopata viti maalum ili tuendelee tu kuheshimiana
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo ndo unaenda kumuona kwa mara ya kwanza? Nakushauri nenda sehemu ilojificha huwezi jua utakutana na nini
 
''...Ninakumbushia tu kwamba iwe sehemu nzuri ya kuvutia na gharama za mkutano wetu ziwe za kawaida...''

Gharama za kawaida ndio zikoje kijana? Ni vyema ungeweka wazi bajeti yako ili tukushauri kwa uhakika.

Kumbuka kuna maisa baada ya kukutana na huyo mrembo....
 
Back
Top Bottom