Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Aah basi mwambie namtafuta sanaNilikua nae tokea Juzi sema Ameondoka leo Kuelekea mkoani anapofanyia kazi
Mi mwenyewe nimemmiss japo ananishushuaga
Ila nahisi atoto atakuwa dodoma, kama si kuapishwa basi kula vichwa vya waheshimiwa teh teh
Nina hamu ya kukufahamu tu Heaven Sent, unaishi mkoa gani?
Mwananyamala
Mlete tu wallet hapa tabata..au meeda, meeda pazuri..hasa pale juu, alafu kuna lodge nzuri ya meeda..akinogewa na story unakula mzigo mzee
Hahaha dada ako kwa mashushu tu hajambo. Atakuwa anaapishwa tu Mheshimiwa atoto. Yule kumfata baby dom ni kazi unless baby awe ameshamtumia mkwanja kwenye account yake before safari kuanza
Usikute karushiwa kwanza advance tigopesa before safari, ahaaaa!!!
Hata hivyo tumtakie heri kama kapata shavu la viti maalum, huenda akatukumbuka. Ila kwa anavyopenda hela, tingatinga akifyeka posho zao nahisi atatutia aibu atakavyolalama huko bungeni, loh!