Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

No. Uchawi upo na unafanya kazi.
Ukienda nchi Kama Canada hususani mji wa Toronto ukawasimulia Ile sayansi ya kuhamisha mazao shambani kichawi Hawata kuelewa 😊😊😊

Ki mji Kama Ontario ambacho Ni Kama ki mkuranga au ki mbagala kinaweza kulisha mataifa kadhaa
,where quantities of winter wheat, soybeans, corn and field beans zinalimwa na kuvunwa kwa tones & tones
Screenshot_20240508-180959.png


Screenshot_20240508-180924.png

Nchi za ulaya na America zilipambana Sana karne ya 16 na 17 kutokomeza Imani potofu kwa watu wake

Sisi kule kigoma na wilaya zake tunaendelea na operation za kamchape na kuamini mkulima au mfanya biashara tajiri Ni Freemasons na mtoa kafara

Agrarian revolution ilikua Ni process then ikatokea baadae ndio industrial revolution Leo watanganyika tupo Karne 21 ya science and technologies alafu matendo na akili zetu zipo Karne ya 16 na 17 huko Ni balaa sanaaa
 
Back
Top Bottom