Tumefika Pabaya, tukatae hali hii

Tumefika Pabaya, tukatae hali hii

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,596
75566_405894819502848_2070764246_n.jpg
 
Mbona kuna shule za kila dini?
Mbona kuna vyuo vya kila dini?
Mbona kuna redio za kila dini?

think!:eyeroll1:
 
duu kazi ipo ila kuna member alishawahi uliza humu jamvini.. je ni haki kwa mkristu kula HALAL FOOD?
hilo lipo kiivo zaidi naona ni kautaratibu tulikojiwekea sisi wa tanzania kwenye mambo haya..
 
katika muedelezo wa maisha ya binadamu kila tukio linaweza kuwapeleka katika sehemu mpya ya kufikiri.

Najua theory ya uchinjaji ipo kwenye Torati ikiwa na maana kwamba ilikuwepo kabla hata ya Uislam yaani miaka ya 600 BC (?? sina uhakika sana). Je ni nani walikuwa wanachinja wakati huo????

Pia naanza kuona kuwa huenda muda sio mrefu, mbali na wanyama pori hata samaki wakatakiwa kuchinjwa maana ukifanya reasoning kwa undani nao inaelekea wanaliwa vibudu. Utatuzi wa haya mambo si jazba bali ni kufikiri progressively
 
Habari wakuu, Kuna majina/members humu mimi binafsi naya heshimu na pia nawaheshimu kwa michango yao humu.

Lakini kila siku kutuletea mambo ya kichochezi ambayo watu wanakaribia kuyasahau bila sababu, tuu kwasababu wakiandika upuuzi humu kuna watu wanawasapoti eti ni wakongwe tuyaache jamani.

Ajekua aliyeandika thread hii mgeni JF ungesikia matusi na kebehi, mara ohh form four, haujakuwa.

Tuwe makini kuna watu humu tunawaheshimu ID zao kwa mada na michango yao.

Hii picha na mada ipo muda mrefu humu, ya nini huu mjadala kuuendeleza.

Bandaichi nawasilisha.
 
Back
Top Bottom