Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Kwani anakuwa kauziwa?
Hahahaha hah kwani na hiyo si biashara na watu wanaelewana bei usishangae kaka chanzo kipya cha mapato hichoHahahahahaaaaaaa! Mmwera una mambo sana wewe. Unawaza kukata mauno tu
Teheteheteyetehe. Kwa hiyo Makahaba nao wapewe EFD Machines?Hahahaha hah kwani na hiyo si biashara na watu wanaelewana bei usishangae kaka chanzo kipya cha mapato hicho
Ikiwezekana.Teheteheteyetehe. Kwa hiyo Makahaba nao wapewe EFD Machines?
na asipokupa risiti mpeleke polisi ili nawe usijekamatwa kwa kutodai risiti kwi!kwi!kwi!!!Teheteheteyetehe. Kwa hiyo Makahaba nao wapewe EFD Machines?