Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,103
- 420
Wadau heshima zenu,
Kuna dada tumefahamiana kama miezi miwil hivi, tumekuwa tukichati na kubadilishana mawazo. Mi mwanzon nikawa namvutia kasi, ila yy ndo akaanza kuniita mpenzi nikajua basi huyu kashanasa, Mi sikuona sababu ya kumkatalia coz hata mm kimoyomoyo nilikuwa nimevutiwa nae.
Wakati tunaendelea kuwasiliana akaja na sera nyingine anataka nikajitambulishe kwao kuwa mimi ndo mchumba wake.
NB: tunafanya kazi sehemu moja ila vitengo tofauti, kuonana ni wakati wa tea/ lunch,
Je kuna kitu anataka kukificha ndo maana anataka nikajicommit kwa wazazi?
Mi hilo hilo sijaliafiki moyoni mwangu manake nahisi kama vile anataka kunipiga changa la macho, kwa nn tukajitambulishe harakaharaka?
sasa kila wakati ananiuliza kuwa nitamuoa lini, mi huwa nashindwa kumpa jibu.
Hebu wadau nishaurini niendelee na msimamu wangu wa kutia ngumu au nilegee niende?
thnx