Tumefahamiana chini ya miezi 2,Nikajitambulishe!!!!!!

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,101
415
Wadau heshima zenu,
Kuna dada tumefahamiana kama miezi miwil hivi, tumekuwa tukichati na kubadilishana mawazo. Mi mwanzon nikawa namvutia kasi, ila yy ndo akaanza kuniita mpenzi nikajua basi huyu kashanasa, Mi sikuona sababu ya kumkatalia coz hata mm kimoyomoyo nilikuwa nimevutiwa nae.

Wakati tunaendelea kuwasiliana akaja na sera nyingine anataka nikajitambulishe kwao kuwa mimi ndo mchumba wake.
NB: tunafanya kazi sehemu moja ila vitengo tofauti, kuonana ni wakati wa tea/ lunch,

Je kuna kitu anataka kukificha ndo maana anataka nikajicommit kwa wazazi?

Mi hilo hilo sijaliafiki moyoni mwangu manake nahisi kama vile anataka kunipiga changa la macho, kwa nn tukajitambulishe harakaharaka?
sasa kila wakati ananiuliza kuwa nitamuoa lini, mi huwa nashindwa kumpa jibu.

Hebu wadau nishaurini niendelee na msimamu wangu wa kutia ngumu au nilegee niende?
thnx
 
sasa hapo kuna ugumu gani? kama haipo tayari to commit just tell her... wanaume bwana. hilo sio jambo lakuomba ushauri hapa.
 
mi wasiwasi ni kujitambulisha kabla hata ya kufahamiana vizuri.
mi huyu msicha sijapata mda wa kujua hata tabia yake, anapenda nini, hapendi nini, akikasirika inakuaje, wallet kikiwa tupu anarespondije, je anampenda mungu, ana upendo wa dhati? anapenda maendeleo? nk
mambo ambayo mi kwa utashi wangu nafikiri ni muhimu kuyajua kama mna mpango wa kuwa pamoja, ili muweze kuendana,

sasa mkuu mi nikienda kujitambulisha alafu baadae nikagundua kuwa tabia zetu haziendani nikampiga chini huoni mi nitakuwa namuumiza binti wa watu?
 
Utamuumiza ndio. We mwambie kama ulivoandika hapo in bold. Kama sisi wanaJF tumeelewa nae ataelewa tu
 
Ndechumia Hili tukio linatoa picha the type of dude you are... Naona ni mstaarabu, mpole, waheshimu saana wanawake na uko sensitive, na ni the type of guy ambae wadada wajanja hua attracted to hasa kama anahitaji life partner desperately.... huyo dada kisha kusoma, anajua ni moja ya wale wanaume wako really weak in making decisions kama zinaenda tofauti na mwanamke alo mbele yako. Atakua kisha kusoma kua huna mtu ambae yupo serious katika mahusiano yako (or hata kama yupo serious there is a better chance of her winning you); Ni mjanja ajakimbilia kua labada muende faragha or have sex.... Anajua once ukienda kwa wazazi utashindwa kujinasua.... Imagine hapa kakuita tu Mpenzi ukalainika na you liked it... I bet hata hizo tea na lunch ni wewe wahudumia... Enways IMO kama umempenda sio mbaya ila hio ni too fast... For walau yatakiwa muipe hio relationship nafasi ya kukua....

Hata hivo I maybe wrong, for ni mambo mengi yatakiwa ku observe....
 
Aisee!Wanawake wa dot com hao,yani dizaini ya akina kongosho!!(joke).Ebana angalia mambo muhimu,kama mtoto amesimama pita nae na spidi 2900!Atakuja kipanga halafu utajilaumu!Oportunit neva come twice!
 
Ndechumia Hili tukio linatoa picha the type of dude you are... Naona ni mstaarabu, mpole, waheshimu saana wanawake na uko sensitive, na ni the type of guy ambae wadada wajanja hua attracted to hasa kama anahitaji life partner desperately.... huyo dada kisha kusoma, anajua ni moja ya wale wanaume wako really weak in making decisions kama zinaenda tofauti na mwanamke alo mbele yako. Atakua kisha kusoma kua huna mtu ambae yupo serious katika mahusiano yako (or hata kama yupo serious there is a better chance of her winning you); Ni mjanja ajakimbilia kua labada muende faragha or have sex.... Anajua once ukienda kwa wazazi utashindwa kujinasua.... Imagine hapa kakuita tu Mpenzi ukalainika na you liked it... I bet hata hizo tea na lunch ni wewe wahudumia... Enways IMO kama umempenda sio mbaya ila hio ni too fast... For walau yatakiwa muipe hio relationship nafasi ya kukua....

Hata hivo I maybe wrong, for ni mambo mengi yatakiwa ku observe....

Ashadii nimekupata, nashukuru sana.

hilo la kuniita mpenzi nami nikalegea ni kwamba yy aliniwahi tu,
nilishakuwa na plan ya kumtokea ila mimi nikawa nataka kwanza nimfahamu vizuri, kabla ya kumwambia chochote,
Sasa alipoingia laini ndo nikaona niendelee hivohivo mdogomdogo,
 
Mie hapa mbona sikuelewi au ulitaka mpaka mmegane ndio kufahamina kwenyewe au?

Ushauri wangu kwako kama unataka mke! kaa nae mueleze hali yako ilivyo, unapenda nini na nini haupendi! mwambie mke unaemtaka awe vipi, heshima na upendo ni nature.
Akiafiki nendeni mkapime, majibu yakiwa poa kajitambulishe mie nitakuwa mshenga wako.
 
Ndechumia, pole ni wazi kuwa huyo dada yuko desparate kwa maana ya either anaona muda wake wa kuolewa unapita hewani au anahofia kukupoteza. Binafsi sikushauri ukajitambulishe na hili ni kwa faida yako na yake kwani siamini kuwa yeye amekufahamu vilivyo kiasi cha kuweza kufanya maamuzi sahihi. Asijejuta mbeleni na kujichukia.

Mketishe chini mweleze faia na hasara za kuoana ilhali hamjafahamiana vizuri na kama unayo nia njema naye basi mweleze avute subra.
 
Kwako yawezekana swali hili ni gumu! But kwa vichwa vingine likawa jibu lake ni too rahisi. Mheshimiwa ! Kwani kujitambulisha ndiyo KUOA ? hakuna Ndoa inayokamilika kwa kujitambulisha.
Sema kujitambulisha kuna'hold muoaji mtarajiwa nje ya wewe asitambuliwe!
Aidha hakuna a particular time which aplicable kutoka utambulisho hadi ndoa. So far hakuna reason yenye mashiko kutojitambulisha. Kujitambulisha hakuzuii wewe kumchunguza mienendo yake.
 
AshaDii & MwanajamiiOne wamezungumza yote tena kwa ufasaha sana..chukua ushauri huo bro! Haraka haraka haina baraka...ukishakubali kutambulishwa ndani ya huu mwezi na nusu ya mahusiano,huwezi jua next month anaweza akakwambia mjamzito na umuoe kuepusha aibu ndo itakuwa balaa zaidi.

Ni kweli kuwa mapenzi hayana formula ila ni muhimu kuzingatia mambo ya muhimu katika mahusiano!
KYC-know your customer (Source-Kongosho)
 
Like like like
 
Usikurupuke kujitambulisha ndugu yangu. Sikuizi wanawake ni dili kuolewa, chunga sana na wadezaini hizo ni rahisi sana kukutegeshea kababy
 
Uckilize moyo wako unahitaji nn,coz tunaweza kukushauri tofauti na vile moyo wako unataka,ila mwambie avute subira japo hata miezi 4 au 6,na jaribun kuwa karibu kila muda upatikanapo ili mpate kufahamiana vizuri,japo nilishashuhudia watu walichat online kwa miez 3 walipokutana ndan ya miez 2 wakaoana na wako fresh tu ni mwaka 3 sasa.
 
Kwani anataka ukajitambulishe kama mchumba ama kama rafiki? Well, binafsi huwa naona kuwa na a very open relationship ni faida, utawajua nduguze pia na ku-observe mahusiano yake na nduguze. Shukuru Mungu kaka, wenzio wanadate mwaka na mdada hataki ameet nduguze, ukiambiwa niko na mamdogo huruhusiwi kutuma hata sms achia mbali kupiga simu. Nakushauri ukutane na nduguze maybe kasoro baba, na ujitambulishe kama rafiki.
Swali: tayari unajiskia kama boyfriend wake? Uko tayari kuanza kumuona kama mchumba wako?
 
mi wasiwasi ni kujitambulisha kabla hata ya kufahamiana vizuri.
mi huyu msicha sijapata mda wa kujua hata tabia yake, anapenda nini, hapendi nini, akikasirika inakuaje, wallet kikiwa tupu anarespondije, je anampenda mungu, ana upendo wa dhati? anapenda maendeleo? nk
mambo ambayo mi kwa utashi wangu nafikiri ni muhimu kuyajua kama mna mpango wa kuwa pamoja, ili muweze kuendana,

sasa mkuu mi nikienda kujitambulisha alafu baadae nikagundua kuwa tabia zetu haziendani nikampiga chini huoni mi nitakuwa namuumiza binti wa watu?
nadhani ulichoandika hapo juu ndo unapaswa kufanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom