Tumefahamiana chini ya miezi 2,Nikajitambulishe!!!!!!

Sasa we shangashangaa daily unakamuliwa lunch..! mara kinaibuka kidume kinabeba mzigo unaanza kujirahumu (ZOBA). si uliuona ule wimbo wa Banana Zorro.
 
Umefanya kazi nae muda gani?

Fanya u FBI kwanza upate faili lake kwa urefu, esp kwa mtu unayefanya naye kazi hamna ugumu ulizia ulizia kwa washikaji ambao unajua watakwambia ukweli. Then fanya ka background check kama vile sehemu alizoishi na shule alizosoma hii huwa inasaidia sana

swala la kujitambulisha miezi 2? If i were you BIG NOOOOOO labda inawezekana huyu demu alikuwa na mshikaji mmoja amemwagwa hivi karibuni so demu bado ana machungu anataka kwenda kumringishia asionekane amekaa muda mrefu bila mtu na kama bado demu anampenda huyu mshikaji akirudi tu mzee umekwisha.
 
ni dhahiri hauko tayari.....................never late is better,mwambie tu ukweli ka huwezi kuliko kumzungusha tu kila siku.
 
Bro na ukijaribu kula chakura cha bwana 2 utaambiwa honey nina mimba yako, lakini kumbuka A SMART MARY SOON.
 
Haraka ya nini ndugu yangu, wewe ni mwanaume,una kauli katika hili na unapaswa kuwa kiongozi....chukua muda kumfahamu huyo dada vizuri, hata miezi ya kupima HIV hujamaliza....usicheze na commitment utakayoiweka kwa wazazi wake...ukiivunja una laana yako.
Zungumza nae kwa hekima na umshauri asubiri kidogo,mzidi kufahamiana na ikiwapendeza mchukue hatua ya kuwaona wazazi huko mbele.
 
Acheni mapenzi ya ajabu jamani,miezi miwili mkatambulishane jamani!mmh!.labda kama mmeshaenda far away.
 
Kwani anataka ukajitambulishe kama mchumba ama kama rafiki? Well, binafsi huwa naona kuwa na a very open relationship ni faida, utawajua nduguze pia na ku-observe mahusiano yake na nduguze. Shukuru Mungu kaka, wenzio wanadate mwaka na mdada hataki ameet nduguze, ukiambiwa niko na mamdogo huruhusiwi kutuma hata sms achia mbali kupiga simu. Nakushauri ukutane na nduguze maybe kasoro baba, na ujitambulishe kama rafiki.
Swali: tayari unajiskia kama boyfriend wake? Uko tayari kuanza kumuona kama mchumba wako?

Like like like!

Kama anataka kumfahamu huyo mdada, hakuna njia nzuri kama kumeet ndugu zake! Unless hayupo interested! Anaweza kujitambulisha kama colleague tu. Mdada knows what she wants, ila mkaka is kinda scared; naona watamake good couple; mdada is active na mkaka reflective (sijui wanasaikolojia wanawaterm vipi)
 
Wadau heshima zenu,
Kuna dada tumefahamiana kama miezi miwil hivi, tumekuwa tukichati na kubadilishana mawazo. Mi mwanzon nikawa namvutia kasi, ila yy ndo akaanza kuniita mpenzi nikajua basi huyu kashanasa, Mi sikuona sababu ya kumkatalia coz hata mm kimoyomoyo nilikuwa nimevutiwa nae.

Wakati tunaendelea kuwasiliana akaja na sera nyingine anataka nikajitambulishe kwao kuwa mimi ndo mchumba wake.
NB: tunafanya kazi sehemu moja ila vitengo tofauti, kuonana ni wakati wa tea/ lunch,

Je kuna kitu anataka kukificha ndo maana anataka nikajicommit kwa wazazi?

Mi hilo hilo sijaliafiki moyoni mwangu manake nahisi kama vile anataka kunipiga changa la macho, kwa nn tukajitambulishe harakaharaka?
sasa kila wakati ananiuliza kuwa nitamuoa lini, mi huwa nashindwa kumpa jibu.

Hebu wadau nishaurini niendelee na msimamu wangu wa kutia ngumu au nilegee niende?
thnx

nenda kajitambulishe kwao, kwani tataizo liko wapi, kwenu usimpeleke mpaka uridhishe nafsi yako
 
Haraka ya nini ndugu yangu, wewe ni mwanaume,una kauli katika hili na unapaswa kuwa kiongozi....chukua muda kumfahamu huyo dada vizuri, hata miezi ya kupima HIV hujamaliza....usicheze na commitment utakayoiweka kwa wazazi wake...ukiivunja una laana yako.
Zungumza nae kwa hekima na umshauri asubiri kidogo,mzidi kufahamiana na ikiwapendeza mchukue hatua ya kuwaona wazazi huko mbele.
Mdau nashukuru ushauri wako nitauzingatia.
Kwa hii miezi 2 tushafanya HIV test na tupo fresh,
 
Like like like!

Kama anataka kumfahamu huyo mdada, hakuna njia nzuri kama kumeet ndugu zake! Unless hayupo interested! Anaweza kujitambulisha kama colleague tu. Mdada knows what she wants, ila mkaka is kinda scared; naona watamake good couple; mdada is active na mkaka reflective (sijui wanasaikolojia wanawaterm vipi)
Nashukuru kwa ushauri,
Tatizo yy anataka nitambulike kwao kama mchumba kitu ambacho mi kimenipa wasiwasi.
 
nenda kajitambulishe kwao, kwani tataizo liko wapi, kwenu usimpeleke mpaka uridhishe nafsi yako
Mkuu hapo umenipa wazo jipya ambalo nafikiri litanifaa,
manake mi nilikuwa naogopa kupata aibu home kama hatutaenda mbali.
 
Sasa we shangashangaa daily unakamuliwa lunch..! mara kinaibuka kidume kinabeba mzigo unaanza kujirahumu (ZOBA). si uliuona ule wimbo wa Banana Zorro.
Mkuu hizo lunch hazikwepeki manake nazitumia kama pilot study
 
Unaweza ukatumia muda mwingi na usitambue mabaya yake kwa kuwa hitaji lake halijatimia.Wasichana weng ndivyo walivyo,shida yao ni kuolewa baada ya ndoa sasa tabia zake ndo utazijua na ndo utakapomjua yeye ni nani.Wewe waweza hisi anakupenda saaana kumbe hamna kashaachwa sana,time is running to infinite na anatamani awe na wake kwa hiyo ndo maana anafosi kwa udi na uvumba.Tafakari,chukua hatua.
 
Back
Top Bottom