Tumechoka

Tumechoka

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,290
Reaction score
61,279
Hii mpya ya leo wakenya wapiga poo kwa kuleta punda mjini kupinga serikali kutowalinda 1418310658319.jpg1418310679275.jpg
 
kuna kipindi walipeleka nguruwe wanono bungeni hadi niliwatamani ila walikuwa na ujumbe safi sana!
_watz tukipewa kofia tu 5years tunakula nyasi
 
kuna kipindi walipeleka nguruwe wanono bungeni hadi niliwatamani ila walikuwa na ujumbe safi sana!
_watz tukipewa kofia tu 5years tunakula nyasi

Hahaha wao wamepeleka kelele zao za wabunge kula mishahara minono we ukatamani kuwala
 
Back
Top Bottom