seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Wakuu angalieni vizuri statement za watu wa loan Board hasa wale wanaokaribia kumaliza deni, Kuna watu wanazifanyia adjustment, Sijui kwa malengo gani hapo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Wenye statement za mwezi uliopita wa nane ambao walizidownload au waliozichukua watagundua kiasi ulicholipa wamekipunguza kwa makusudi kabisa na kufanya deni kuendelea kuwa kubwa zaidi
NB
Angalia number ya installment ulizolipa na mwezi na mwaka ulioanza kulipa, Utakuta installment baadhi zimefutwa hivyo kufanya ulichorejesha ni kidogo
Ili kupata Jibu kamili ingia Leo, Angalia statement yako utagundua deni lako limekuwa kubwa zaidi, Wamepunguza kiasi ulicholipa kwa makusudi kabisa
Summary ya statement yao ina vitu vifuatavyo 4
Total amount disbursed
Total charge
Amount returned
Amount repaid
Tatizo lipo kwenye Total charge, Wameamua kupunguza amount repaid na kupeleka kwenye Total charge hivyo hakuna mtu atalimaliza hilo deni
Naona hii ni njia mpya ya upigaji hapo bodi ya mikopo
Kwa Mtindo wa kupunguza kiasi mtu alicholipa kwa makusudi, Je ni nani atamaliza deni kwa sasa, Mtu amelipa 10,700,000 mpaka mwezi wa nane Leo anakuta amelipa Milioni 10,300,000,Hizo laki nne zinaenda wapi?
Tunaomba Waziri na wakaguzi mkaliangalie hilo hapo Bodi ya mikopo
Rais alishafuta huo ujanja wa kuamua kulikuza deni kwa makusudi kabisa ili watu wasimalize deni
Je kuna riba mpya imeanzishwa ili kukuza upya deni?, Au kuna tozo mpaka kwenye kulipa deni?
Nimemlipia mjukuu kiasi kilichobaki kwa kutumia statement yake lakini ghafla naangalia statement deni limeongezeka tofauti na statement yao ya mwezi wa nane
Huku ni kusumbua walezi na wazazi wa wanafunzi