Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
Mtaolewa! It's either uoe au uolewe!Muafaka
Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.
Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.
Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa nyingi.
Niseme Dunia imebadilika sana,hatuko na muda wa kumpa nafasi huyo anayeolewa awe na kisauti cha juu over.