Tumeamua Tumekubaliana Hatutaki ndoa,Msitushauri

Tumeamua Tumekubaliana Hatutaki ndoa,Msitushauri

Onhoo,kumbe ndoa ya kanisani au msikitini....mi naona kumwoa tu inatosha
Kumbe una akili mingi kuoa tu inatosha ila kufunga ndoa kataa kbsa ,ewe kijana to yeye amesema kataa ndoa , ndoa ni utapeli ndoa ni wizi wa wazi wazi.
 
Tusi
Muafaka

Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.

Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.

Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa nyingi.

Niseme Dunia imebadilika sana,hatuko na muda wa kumpa nafasi huyo anayeolewa awe na kisauti cha juu over.
 
Ukiona nimepotezea ujue nimetambua nia yako , ivi unafamu ukimya pia unaweza kuwa jibu.
Nimekuuliza mtaani kwako ndo wanakusumbua na mahubiri ya ndoa? Haya unayoyafanya ni kuruka ruka. Ungesema ndio ningekwambia badili marafiki kaa na wasio na wake kama wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom