Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Kwani wao ni team gani?Wamefuta mkuuðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kwani wao ni team gani?Wamefuta mkuuðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Naomba nijue jinsia yako nijue nakujibuje?
SexlessNaomba nijue jinsia yako nijue nakujibuje?
Sawa naomba nikioe maana inaonekana umelilia ndoa kwa muda mrefuSexless
Anatafunwa yeye alaf swali unaniuliza mimi.Kwa nini mke wako wa ndoa atafunwe?
Sijui 🤔Kwani wao ni team gani?
🤣🤣🤣🤣🤣ðŸ˜Daah kazi unayo fungua tena🤣🤣🤣
Kataa ndoaSijui 🤔
Halafu mnadai mnachukia ushoga!Kama hamtaki kuoa acheni kutafuna wake za watu. Tutaendelea kuwalawiti mpaka mjua thamani ya mke wa mtu
ðŸ¤Kataa ndoa
Ndoa ni gereza kwa mwanaume...Muafaka
Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.
Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.
Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa nyingi.
Niseme Dunia imebadilika sana,hatuko na muda wa kumpa nafasi huyo anayeolewa awe na kisauti cha juu over.
KitaelewekaHalafu mnadai mnachukia ushoga!
Nyie si ndo mnajifanya kukasirika mkeo akitafunwa wakati mbususu haujaibeba wewe , ndo maana nimekuuliza wewe.Anatafunwa yeye alaf swali unaniuliza mimi.
Basi tulia tu usiwaze sana hao team kataa ndoa wameshaanguka chaliSijui 🤔
Tafuta ndugu zako mwenye hana ndoa ni halali yako....mie niko kwenye ndoa mwaka wa 7 sasaSawa naomba nikioe maana inaonekana umelilia ndoa kwa muda mrefu
Bado safari inaendelea bibieTafuta ndugu zako mwenye hana ndoa ni halali yako....mie niko kwenye ndoa mwaka wa 7 sasa
Yes sjasema nimefika najua bado tuna safari ndefu kama Mungu akiendelea kutupatia uzimaBado safari inaendelea bibie
Unaonekana ni mke mwema mno mtii mumeo kwa kila hali ila usitushawishi kufunga ndoa huku nje kuna mbwa mwitu wengi kulko kondoo.Yes sjasema nimefika najua bado tuna safari ndefu kama Mungu akiendelea kutupatia uzima